nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Kuna kitu kinaitwa "uzima" sio uhai, ni nafasi anayozaliwa nayo mtu ya kusamehewa na Mungu akitubu, asiye na uzima hawezi kusamehewa, uzima ni Neema. Shetani anachohitaji kwa mtu ni ule uzima wake, hataki watu waende mbinguni. Kwa hiyo sharti kubwa ni " nipe uzima wako kwa hiari nikupe Mali za duniani"Hivi huwezi kuwatapeli mashetani.....
let's say wanakupa utajiri wa punje i.e contract ya miaka kumi mfano ukachukua fedha uka enjoy miaka tisa....
Kabla mkataba haujaisha unaokoka hapo vipi
Ukikubali utatakiwa kufanya kufuru chache kuthibitisha kuwa humtaki Mungu Wala uzima wa milele kamwe, mfano kulala na binti yako au mzazi wako, mauaji ya kikatili n.k hapo ndio utapewa pesa, umaarufu, uchawi au uganga unaotaka.
Hiyo process ni irrevisible, hapo unaweza kuendelea kusali, kutoa sadaka, kuhubiri Ila unajijua wewe ni mtoto wa shetani 100%, na ni Mali ya jehanamu, neema kwako imekwisha