Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

Hv huwezi kuwatapeli mashetan.....
let say wanakupa utajiri wa punje ie contract ya miaka kumi mfano ukachukua fedha uka enjoy miaka tisa....
kabla mkataba haujaisha unaokoka hapo vp
Na kwanini uwafanyie hivyo .. sio vizuri. Wewe unainjoi maisha na kuwasetia mipango waliobaki walio na umuhimu kwako, ikifika muda wa kuondoka, unaondoka, shida ni nini kwani, ukiokoka ndio hautakufa?! Kufa mapema au kuchelewa kufa vyote sawa
 
Na kwanini uwafanyie hivyo ..sio vizuri. We we unainjoi maisha na kuwasetia mipango waliobaki walio na umuhimu kwako , ikifika muda wa kuondoka , unaondoka, shida ni nini kwani , ukiokoka ndio hautakufa?! Kufa mapema au kuchelewa kufa vyote sawa
Ukifa mkuu na utajiri hufa pia kama wa kichawi
 
Hv huwezi kuwatapeli mashetan.....
let say wanakupa utajiri wa punje ie contract ya miaka kumi mfano ukachukua fedha uka enjoy miaka tisa....
kabla mkataba haujaisha unaokoka hapo vp
Kuna jamaa mmoja alienda na wenzake wawili kwenye pesa za kuku kudonoa mahindi
Sasa wenzake kuku akala mahindi 5 na 6 Ila yeye kuku alikula punje moja tu.

Jamaa akachukua uamuzi wa kuokoka na akaamua kutoa ile siri ya wenzake. Yule mchungaji akapiga maombi Sana na jamaa akawa vizuri kabisa. Ila ilipotimia mwaka mmoja jamaa akafa kifo Cha ghafla tu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Ni mpumbavuh huyo jamaa. Japo asha rest in piece.
Anyway ni wapi huko kwa babu
 
Hv huwezi kuwatapeli mashetan.....
let say wanakupa utajiri wa punje ie contract ya miaka kumi mfano ukachukua fedha uka enjoy miaka tisa....
kabla mkataba haujaisha unaokoka hapo vp
Hii ni movie ya ki nigeria jamaa alikufa mbele ya mchungaji, mchungaji akaomba sana kumrudisha rohoni akaambiwa huyu mtu tayari ameshauza roho yake kwa hiari yake. Mungu anaheshimu maagano hawezi vunja agano lolote mtu akilifanya haijalishi na nani
 
Wala usihangaike sana PM we nenda Ilula pale kwa Mzee Makanyaga bas.. Bahat mbaya amefariki lakin watoto wake bado wapo wanaendeleza alichokua anakifanya baba yao
Asante mkuu
 
Mchungaji hakuvunja maagano,kuna nguvu ilikuwa bado inamfuatilia,hii ishu changamoto yake ni kupata mtumishi mwenye nguvu ya Mungu ndani yake,kuokoka tu pekeyake haitoshi
 
Hv huwezi kuwatapeli mashetan.....
let say wanakupa utajiri wa punje ie contract ya miaka kumi mfano ukachukua fedha uka enjoy miaka tisa....
kabla mkataba haujaisha unaokoka hapo vp
🤣🤣🤣🤣🤣 hayo mashetani sio wabongo wanao taperiliwa na watoto akina Mr KUKU, Ontario, na Tajiri Mahindi,

Ukisha ingia huko hutoki na ukitoka bahati mbaya unakuwa fukara zaidi ya chokoraa, nusu psychiatric disorders
 
unakuaje huo comrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…