Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

Nasikia leo kwenye msafara wakupokea mwili wake moja ya gari yake ilikuwa ikiwaka moto
 
Na kwanini uwafanyie hivyo ..sio vizuri. We we unainjoi maisha na kuwasetia mipango waliobaki walio na umuhimu kwako , ikifika muda wa kuondoka , unaondoka, shida ni nini kwani , ukiokoka ndio hautakufa?! Kufa mapema au kuchelewa kufa vyote sawa
Sio kwamba unakufa, wanakuchukua kwenda kutumikia adhabu sisi tu ndo tunakuwa hatukuoni ktk macho ya kawaida ila freemason wengine wanakuwa wanakuona ka kawa ...
 
Sijui kwanini huwa tanaamini kuwa na pesa lazima uwe mchawi aubnshirikina huku ni kukosa kufikiria kwa weledi.... Tuchape kazi tuwe wabunifu pesa zipo ndugu zangu bila hata ndumba
 

Kabisa mkuu

Ni jambo la ajabu sana katika jamii zetu za kiafrika. Utajiri ni maamuzi kama maamuzi mengine
 
Ok ok
 
Hivi huwezi kuwatapeli mashetani.....
let's say wanakupa utajiri wa punje i.e contract ya miaka kumi mfano ukachukua fedha uka enjoy miaka tisa....

Kabla mkataba haujaisha unaokoka hapo vipi
Nimecheka sana jamani. Binadamu ni viumbe vya tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…