Msikieni Shaffih Dauda kuhusu mauzo ya jezi za Yanga na Simba

Mkuu, uko tayari kwa matusi? Sasa hivi kila mahali ni Yanga tu, hata hao mikia wenyewe wanakiri hilo. Timu limepooza kama halipo, thread zote humu ni kuhusu ubora wa Yanga kila sekta. Asante mkuu ila subiri yaje yenye midomo michafu.
 
Sana
 
Luc Eymael alikuwa sahihi kabisa kuwaita nyie nyani,mbwa na uneducated
 
Mkuu, uko tayari kwa matusi? Sasa hivi kila mahali ni Yanga tu, hata hao mikia wenyewe wanakiri hilo. Timu limepooza kama halipo, thread zote humu ni kuhusu ubora wa Yanga kila sekta. Asante mkuu ila subiri yaje yenye midomo michafu.
Niko tayari kuyaoga matusi
 
Vunjabei msimu huu kuchelewa kuleta jersey kwa wakati kumegharimu sana mauzo ya jersey mara nyingi hamasa ya ununuzi wa jersey ni mwanzoni kabisa kabla ya ligi kuanza
 
Daah! hahahahahaaa! kwa hiyo ukituliza tu filimbi!?
 
Vunjabei msimu huu kuchelewa kuleta jersey kwa wakati kumegharimu sana mauzo ya jersey mara nyingi hamasa ya ununuzi wa jersey ni mwanzoni kabisa kabla ya ligi kuanza
Ni kweli
 
"Nikwambie ukweli kabisa kutoka moyoni mwangu jezi za Yanga kweli zinatembea, hasa jezi za njano na nyeusi. Jezi za Simba hazitembei kabisa kama jezi za kijani za Yanga, zinaenda taratibu sana."
 
Katika football mchambuzi anakosa vya kuchambua mpaka anachambua jersey ndio maana namueshimu ambangile anaga swags za kijinga ukitaka kumuoji eleza mambo ya kimpira sio jersey ,soksi ,wachezaji walivyo nyoa ,hosteli ujinga mtupu
 
Kweli mkuu
 
Vunjabei msimu huu kuchelewa kuleta jersey kwa wakati kumegharimu sana mauzo ya jersey mara nyingi hamasa ya ununuzi wa jersey ni mwanzoni kabisa kabla ya ligi kuanza
Kipimo cha jezi haziuziki ni kiduka cha Shaffih? Umeshaenda Sandaland au kwenye maduka yake Vunjabei ukapewa data ukajiridhisha kuwa mauzo yameshuka?
 
Katika football mchambuzi anakosa vya kuchambua mpaka anachambua jersey ndio maana namueshimu ambangile anaga swags za kijinga ukitaka kumuoji eleza mambo ya kimpira sio jersey ,soksi ,wachezaji walivyo nyoa ,hosteli ujinga mtupu
Shaffih ana chuki binafsi na Barbra wala hatusumbui.Mwisho tunalazimika kuhoji hii hasira kwa Barbra ni swala la kunyimwa tenda ya jezi tu au alijaribu kutupa na kete nyingine akala za uso.
 
Hata yule aliyewaita hamnazo hakukosea
 
Hili halina ubishi hata mitaani Jezi za Yanga zinatembea mno kuliko za Simba .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…