Duh!..Barbara katibua watu huko unambiwa kapitia mikataba yote ya usajili na mishahara kakuta MADUDU makubwa kuna watu wana share hadi mishahara na wachezaji, ni uchafu mkubwa sana, sasa wale wa teni pasenti kuna washkaji zake na huyu mhaya dauda, vita ni kubwa sana, huyu hatapumzika hadi ahakikishe kazua vurugu simba
Kwa kigezo kipi?mbona tayar umeshamsikiliza
Ajabumbona tayar umeshamsikiliza
Kwan ana ugomvi na Simba?kachagua upande wa jezi kufichia silaha za mashambulizi yake kwa Simba.
Ni kweliHili halina ubishi hata mitaani Jezi za Yanga zinatembea mno kuliko za Simba .
Anatumikia bahasha za GSMKwan ana ugomvi na Simba?
Mmmmh hayaAnatumikia bahasha za GSM
HaswaaSasa wewe kwa jibu hili unakosaje kuwa Mbumbumbu wahed? Ukitaka kujua kundi la uneducated liko wapi jaribu kuul8zia check ya Bil 20 majibu yake ndio utajua
Weka ushabiki pembeniKipimo cha jezi haziuziki ni kiduka cha Shaffih? Umeshaenda Sandaland au kwenye maduka yake Vunjabei ukapewa data ukajiridhisha kuwa mauzo yameshuka?
Kwani ugomvi?Kama anaona haziuziki asizichukue aendelee kuuza za yanga
Jezi za Simba zinauzika vizuri sana na vunja bei amekuja na strategic nzuri sana,juzi nilikuwa mwanza vunja bei alikuwa ana gari lake la matangazo aliuza jezi zote zilizokuwepo kwenye gari pamoja na kofia.Yuko kwenye biashara ya jezi anajua zaidi lakini one thing kuhusu shaffih dauda, anamchukia sana Barbra na kuna watu kule ndani ya simba baada ya mirija kukatwa wako radhi hata kumpiga uchawi yule bibie awe chizi na shaffih dauda ni mtu wao hilo liko wazi.
Ndiyo maana anapoulizaga simba kuko shwari? anajua anachokisema kabisa, sema safari hii zengwe lake kama lile alilolifanya kwa Ramadhan Singano Messi naona linashindikana.
Tatu ,sitashangaa mauzo kuwa chini sababu mkanganyiko uliojitokeza na watanzania kuwa na mzuka team ikichukua ubingwa, upepo huo uko yanga kwa sasa ila mashabiki wa simba watakuwa hawamtendei haki vunja bei kafanya kazi nzuri sana mwaka huu jezi kali sana