Niambie huyu wa kwetu alipigiwa kura na nani, lini na wapi? Na hata mwaka huu, kama pakifanyika reform ya kuzuia Sangara kusimamia kesi ya Sato, hapati hata kura moja, labda ya mtoto wake Abdul, hata kura ya mumewe hapati!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.