Msikilizeni Tundu Lisu ambaye anawatangazia kuwa hakuwa sehemu ya maridhiano, wala kumkaribisha Samia Bawacha, anamlaumu Mbowe na wenzake

Msikilizeni Tundu Lisu ambaye anawatangazia kuwa hakuwa sehemu ya maridhiano, wala kumkaribisha Samia Bawacha, anamlaumu Mbowe na wenzake

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Moderators spare this clip

Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa


Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal

Lisu nilimpenda sana kuliko wanasia wote, msikilize please! Quinine Bezecky Moisemusajiografii Minjingu Jingu 4 7mbatizaji

"TUNDU LISSU WAWILI HAWA WAKIKUTANA WATAELEWANA?


View: https://youtu.be/rTWpnMO7kto?si=54k-QsjtgmlxtnQw

Pascal Mayalla tafadhali sikiliza hiyo
 
Team MBOWE hata kama hamjui kusoma hata tu kutazama picha mnashinwa ?

Awamu hii MBOWE hana sifa hata kidogo za kuendelea kuwa mwenyekiti taifa .

Kanda nitokayo mimi 98% yote kwa LISSU hizo mbili nazenyewe nazitoa kwa sababu ya binadamu kubadilika
 
Tulia, lissu tunamjua. Tupe taarifa za Abdul.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wewe ni Mbowe
Submission is not evidence.... mimi siyo Mbowe katu, lkn wewe wasema hivyo by speculation.... ndiyo maana nasema Lisu anawazuga nyinyi who can not go deep

Umeisikiliza clip lakini?
 
Unajikurupukia tu, Lissu juzi alieleza vizuri sana kuhusu hayo. Ni chizi tu anaweza asimuelewe. Kwamba Bawacha hawakuwahi kumkaribisha Samia kwenye sherehe yao. Hata CC walishangaa ilitokea wapi hata tuzo ya amani hawajui ilipotokea. Ikabainika kumbe ni Mbowe ali engineer, ikabidi wamtunzie aibu mwenyekiti. Sasa wewe ungejibu kwa hoja.
 
Submission is not evidence.... mimi siyo Mbowe katu, lkn wewe wasema hivyo by speculation.... ndiyo maana nasema Lisu anawazuga nyinyi who can not go deep

Umeisikiliza clip lakini?
Kwa sasa tunasubiria RC Chalamila tuone kama Mnyika atajificha tena Kanisani Msimbazi center 🐼
 
Back
Top Bottom