- Thread starter
- #21
amefanyaje tena jamani Mnyika malaika wa MunguKwa sasa tunasubiria RC Chalamila tuone kama Mnyika atajificha tena Kanisani Msimbazi center 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amefanyaje tena jamani Mnyika malaika wa MunguKwa sasa tunasubiria RC Chalamila tuone kama Mnyika atajificha tena Kanisani Msimbazi center 🐼
Sisi CCM tunamsubiri DPP 😂😂Wewe firigisi wewe
Ndiyo maana wanamuamini Lisu anayoyasema clubhouse bila ushahidiHuna uhakika
Yeye ndio Mtoa taarifa za wanaotekwa wakiwa safarini 🐼amefanyaje tena jamani Mnyika malaika wa Mungu
Wewe si msikilizaji mzuri.Lissu alikuwa anatoa maelezo kwa tahadhari kubwa sana.Ndiyo maana akawa anamsifu Mbowe/mwenyekiti na kutoa tamko jumuishi kichama.Lakini,waliokuwa wanachukuliwa kama watu wema,si wema tena.hapana, mimi ni mzee wa miaka ... SIYO MBOWE ...nimekulia chadema, nawapenda Lisu na Mbowe na chadema team wote, ILA LISU AMENIKATA MAINI! ANAKANA ALIYOYASIMAMIA NA WENZAKE
Jamaa ni bo ge la mtu shida yake ni lopolopo.. na sioni future yake kisiasa.TUNDU ANTIPAS LISSU NI MPANGO WA MUNGU, NYIE ENDELEENI KUTUMIKA KAMA CONDOM MTAKUJA KUAIBIKA HUKO MBELENI.
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana ameananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc
Lisu nilimpenda sana kuliko wanasia wote, msikilize please! Quinine Bezecky Moisemusajiografii Minjingu Jingu 4 7mbatizaji
"TUNDU LISSU WAWILI HAWA WAKIKUTANA WATAELEWANA?
View: https://youtu.be/rTWpnMO7kto?si=54k-QsjtgmlxtnQw
Pascal Mayalla tafadhali sikiliza hiyo
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal
Lisu nilimpenda sana kuliko wanasia wote, msikilize please! Quinine Bezecky Moisemusajiografii Minjingu Jingu 4 7mbatizaji
"TUNDU LISSU WAWILI HAWA WAKIKUTANA WATAELEWANA?
View: https://youtu.be/rTWpnMO7kto?si=54k-QsjtgmlxtnQw
Pascal Mayalla tafadhali sikiliza hiyo
beaten, ushaidi huo wa clip lazima ukoment hivyo and finally wewe ni mtoto sitasoma wala kujibuWatanzania na Lisu tu.
Mzee Mbowe aende akauze maua Ulaya
Halafu chadema mnampa uenyekiti mtu kama huyu! Hapana, hapanaKuna members humu wananilaumu eti nimekuwa kigeugeu eti kwanini leo nimemgeuka Lissu, nimemgeuka kwa ajili ya haya,
Jana
View attachment 3184588
Leo
View attachment 3184587
1., I need you to comment on this clipLucas Mwashambwa wa Mbowe unahangaika sana
1. Naamini anayosema Lissu kuwa CC ilipewa taarifa tu kuwa Samia amealikwa na kamwe haikushirikishwa kufikia maamuzi hayo.1., I need you to comment on this clip
2. speculation, mimi siyo Mbowe wala Mwashambwa. Lisu ana speculate mnamfuata na kumwamini kuwa anayosema ni kweli. bila ushahidi