Msikiti uliokuwa unatumika na Al-Kawthar na jengo la makazi kusini mashariki mwa Khan Younis waangamizwa

Hatimae leo wamekili wenyewe kwamba ni wauaji, ila wayahudi wa mbinga sasa

Msikiti wa Al-Kawthar na jengo la makazi kusini mashariki mwa Khan Younis yameangamizwa mapema leo na zaidi ya magaidi 80 waliokuwa ndani nao wameangamizwa. Msikiti huo ulikuwa ngome ya magaidi wa Hamas!!
Watasema kilikuwa kituo cha kulelea mayatima! Halafu wataanza kujiliza mbele ya majukwaa tofauti tofauti!
 
Hatimae leo wamekili wenyewe kwamba ni wauaji, ila wayahudi wa mbinga sasa

Huu ni upotoshaji mkubwa kichwa cha habari kinasema-

Confessions from the Top: Israeli Officials Admit to War Crimes in Gaza.​

Ukisoma habari humo ndani unaona Ehud Olmert aliyekuwa waziri Mkuu wa zamani na kiongozi wa cha upinzani cha KADIMA nchini Israel.

Kwa akili yako unafikiri Ehud Olmert na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wanatoka chama kimoja?
Hapana, Ehud Olmert na Benjamin Netanyahu hawakutoka chama kimoja. Ehud Olmert alikuwa mwanachama wa chama cha Kadima, ambacho kilianzishwa mwaka 2005 kama chama cha wastani kilichotokana na mgawanyiko wa chama cha Likud. Kwa upande mwingine, Benjamin Netanyahu amekuwa mwanachama wa chama cha Likud kwa muda mrefu na ameongoza chama hicho tangu miaka ya 1990 hadi sasa.

Kwa muhtasari, ingawa Olmert aliwahi kuwa katika Likud hapo awali, aliondoka na kujiunga na Kadima, ambacho kilikuwa na itikadi tofauti na Likud, ambayo Netanyahu anaongoza kwa hali hiyo lazima tu atainanha Israel na huyo si Government Official wala Top Official kama ulivyopotosha!!!!
 
Hivi ndio maana ya war crime kama unajitoa ufahamu

🇵🇸🚨💔 More than 600 people are martyred because of starvation. People are lying on the road, children without food, mothers without help.
 
Je unajua maana ya war crime wewe? Au unasikiliza Propaganda za waarabu tu? Hebu tueleze maana ya war crime!!!

Mmekuwa mabingwa wa kupotosha habari hapo mwanzo umetuambia “Top Israel Official admit war crime in Gaza” maneno yaliyosemwa Ehud Olmert wajinga mnawadanganya sana. Kiingereza uchwara mnakitumia kupotosha habari. Tusiojua kiingereza kama mimi mnatuokota sana. Ehud Olmert ni Israel top official? Au ni Msemaji wa serikali ya Israel? Acha upotoshaji wewe??
 
Wewe ni mpumbavu yaani forma prime minister and mayor unambeza? Ni sawa na Mizengo Pinda atamke neno hapa Tanzania litachukuliwa kwa uzito upi kutokana na heshima yake na uzoefu wake kama waziri Mkuu aliyepita? Mnajitoa ufahamu kuua watu 600+ njaa sio war crime? Wewe ni mjinga huyo unaye msafisha myahudi nilishakwambia kwa dunia ya leo kijiji hautaweza hata kidogo

Ehud

Mayor of Jerusalem (1993-2003)
Prime Minister. (2006-2009)

Na bado anakula pensheni za serikali anasema kuna war crime Gaza halafu wewe maji matitu kajamba nani unabwabwaja upuuzi wako hapa. Anaye kusikiliza naye apimwe ubongo huyo ni top official ndio
 
Shida sio dini ila dini za ndugu zangu waislamu zinataka kuwa samia pro max.
Waangalie saudia nzima yani mpaka dini zengine zipo watu wanaishi maisha wewe na pesa zako roho yako wewe.
Ila kwengine utazani mungu ni ccm wa samia
 
Wewe ni mpumbavu yaani forma prime minister and mayor unambeza? Ni sawa na Mizengo Pinda atamke neno hapa Tanzania litachukuliwa kwa uzito upi kutokana na heshima yake na uzoefu wake kama waziri Mkuu aliyepita? Mnajitoa ufahamu kuua watu 600+ njaa sio war crime? Wewe ni mjinga huyo unaye msafisha myahudi nilishakwambia kwa dunia ya leo kijiji hautaweza hata kidogo

Ehud

Mayor of Jerusalem (1993-2003)
Prime Minister. (2006-2009)
Wewe ndiyo mjinga na mpumbavu kabisa Olmert, ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu kutoka 2006 hadi 2009, alikabiliwa na kesi za ufisadi na akahukumiwa kifungo cha jela, ambacho alimaliza mwaka 2017 baada ya kutumikia miezi 16. Hili ndilo lilimwondolea hadhi ya kuwa Political figure na hawezi kupokea chochote kutoka Serikali limemuathiri uwezo wake wa kupokea marupurupu ya kawaida yanayotolewa kwa waziri wakuu wa zamani, marupurupu yake yalikatizwa rasmi. Aidha, tangu aondoke madarakani, amekuwa akishiriki katika shughuli za umma, ikiwa ni pamoja na kuandika safu za maoni katika gazeti la Haaretz na kutoa maoni ya umma kuhusu masuala ya kisiasa, lakini hizi hazihusiani moja kwa moja na malipo ya serikali.

Hayo yote wewe huyajui kwa sababu ni mjinga na Mpumbavu sana unalinganisha Israel na Tanzania. Tatizo lako umejaa uongo uongo sana na chuki dhidi ya Israel. Na ndiyo maana unajianika utupu wako hadharani bila aibu.
Na bado anakula pensheni za serikali anasema kuna war crime Gaza halafu wewe maji matitu kajamba nani unabwabwaja upuuzi wako hapa. Anaye kusikiliza naye apimwe ubongo huyo ni top official ndio
Kiongozi yeyote wa Israel ukifungwa Jela unapoteza haki zako zote hata pension yako hulipwi na hakuna marupurupu yoyote!! Uache kudanganya watu wewe kaa na chuki zako tu mwenyewe mpaka zikuue!!!
 
Wewe ndiyo mjinga na mpumbavu kabisa Olmert, ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu kutoka 2006 hadi 2009, alikabiliwa na kesi za ufisadi na akahukumiwa kifungo cha jela, ambacho alimaliza mwaka 2017 baada ya kutumikia miezi 16. Hili ndilo lilimwondolea hadhi ya kuwa Political figure na hawezi kupokea chochote kutoka Serikali limemuathiri uwezo wake wa kupokea marupurupu ya kawaida yanayotolewa kwa waziri wakuu wa zamani, marupurupu yake yalikatizwa rasmi. Aidha, tangu aondoke madarakani, amekuwa akishiriki katika shughuli za umma, ikiwa ni pamoja na kuandika safu za maoni katika gazeti la Haaretz na kutoa maoni ya umma kuhusu masuala ya kisiasa, lakini hizi hazihusiani moja kwa moja na malipo ya serikali.

Hayo yote wewe huyajui kwa sababu ni mjinga na Mpumbavu sana unalinganisha Israel na Tanzania. Tatizo lako umejaa uongo uongo sana na chuki dhidi ya Israel. Na ndiyo maana unajianika utupu wako hadharani bila aibu.

Kiongozi yeyote wa Israel ukifungwa Jela unapoteza haki zako zote hata pension yako hulipwi na hakuna marupurupu yoyote!! Uache kudanganya watu wewe kaa na chuki zako tu mwenyewe mpaka zikuue!!!

Hio haindoi mtu kusema ukweli nyie wayahudi msema ukweli mnamuua nashangaa huyo bado anasavive asubiri kufa kwa kusema kwake ukweli ila mtu aliyehudumu kama waziri Mkuu inamaana alistahili kile cheo kwa wakati huo anajua mambo mengi ya serikali siri nyingi anazijua wewe Mramba makalio hatuwezi kukusikiliza wewe . Tunamuombea adumu zaidi azid kufichua maovu yenu.

Wayahudi wanaojitambua walishika dini wapo hasa wale wa zamani acha hawa waliobuni Talmud ambayo ndio makafiri kubuhu
 
Mimi
Wewe ndiyo mjinga na mpumbavu kabisa Olmert, ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu kutoka 2006 hadi 2009, alikabiliwa na kesi za ufisadi na akahukumiwa kifungo cha jela, ambacho alimaliza mwaka 2017 baada ya kutumikia miezi 16. Hili ndilo lilimwondolea hadhi ya kuwa Political figure na hawezi kupokea chochote kutoka Serikali limemuathiri uwezo wake wa kupokea marupurupu ya kawaida yanayotolewa kwa waziri wakuu wa zamani, marupurupu yake yalikatizwa rasmi. Aidha, tangu aondoke madarakani, amekuwa akishiriki katika shughuli za umma, ikiwa ni pamoja na kuandika safu za maoni katika gazeti la Haaretz na kutoa maoni ya umma kuhusu masuala ya kisiasa, lakini hizi hazihusiani moja kwa moja na malipo ya serikali.

Hayo yote wewe huyajui kwa sababu ni mjinga na Mpumbavu sana unalinganisha Israel na Tanzania. Tatizo lako umejaa uongo uongo sana na chuki dhidi ya Israel. Na ndiyo maana unajianika utupu wako hadharani bila aibu.

Kiongozi yeyote wa Israel ukifungwa Jela unapoteza haki zako zote hata pension yako hulipwi na hakuna marupurupu yoyote!! Uache kudanganya watu wewe kaa na chuki zako tu mwenyewe mpaka zikuue!!!
Mimi nitaendelea kuwachukia na ninawachukua kweli sio uongo sifichi I hate Jews kwasababu ni waovu wanadhulumu haki za watu na mataifa mengine na wanataka kuumaliza uislamu hivyo sitakaa meza moja na myahudi mjalaana. Nina wajua vizuri kupitia historia, na kupitia ninayo yaona leo hivi kwa macho last week nimepita hapo Lebanon one Kwa jamaa zangu family friend kauliwa dada yake kwenye gari alikua kujitafutia riziki drone ikasambua gari nzima. Lengo wanaitaka Lebanon nayo watu kuishi kwenye nchi yao nongwa
 
Hio haindoi mtu kusema ukweli nyie wayahudi msema ukweli mnamuua nashangaa huyo bado anasavive asubiri kufa kwa kusema kwake ukweli ila mtu aliyehudumu kama waziri Mkuu inamaana alistahili kile cheo kwa wakati huo anajua mambo mengi ya serikali siri nyingi anazijua wewe Mramba makalio hatuwezi kukusikiliza wewe . Tunamuombea adumu zaidi azid kufichua maovu yenu.
Ehud Olmert hawezi kujua yanayoendelea huko Gaza sana sana atakudanganya tu!! Ehud Olmert hana lolote wewe endelea tu kumramba matako!!!!
 
Kuanzia leo marufuku kurandaranda anga la mzayuni muyemen anaanza kuwinda ndege za mzayuni tugemee kuziona zikiwa screpa

#Yemen

President of the Supreme Political Council, Mahdi Al-Mashat:

- For the safety of air and maritime navigation in the areas of our Armed Forces' operations, we have issued directives to designate the paths used by the Zionist enemy to attack our country as dangerous zones for all companies.

- Companies must avoid navigation along the routes used by the Zionist entity to launch attacks against our country.

- Our Armed Forces are capable of dealing with hostile Zionist aircraft without causing any harm to air or maritime navigation.

- Very soon, God willing, you will hear good news regarding the Zionist enemy’s aircraft involved in aggression against our country.

- Our Armed Forces, particularly our air defenses, will soon turn the enemy's aircraft into a source of ridicule.

#Military_Media
 
Mimi
Mimi nitaendelea kuwachukia na ninawachukua kweli sio uongo sifichi I hate Jews kwasababu ni waovu wanadhulumu haki za watu na mataifa mengine na wanataka kuumaliza uislamu hivyo sitakaa meza moja na myahudi mjalaana. Nina wajua vizuri kupitia historia, na kupitia ninayo yaona leo hivi kwa macho last week nimepita hapo Lebanon one Kwa jamaa zangu family friend kauliwa dada yake kwenye gari alikua kujitafutia riziki drone ikasambua gari nzima. Lengo wanaitaka Lebanon nayo watu kuishi kwenye nchi yao nongwa
Huo ni ujinga na upumbavu ambao utakuwa nayo mpaka utaingia kaburi na kwa sababu ya Uongo na Chuki zako utaingia Jehanam kwa urahisi sana.

Hata hivyo dini yako imejaa uongo ambao ninyi mmeupaka rangi na kuuita Taqiyyah na mmejazwa chuki za kijinga na kipumbavu ambazo ndizo tiketi ya kwenda motoni!!
Nina wajua vizuri kupitia historia, na kupitia ninayo yaona leo hivi kwa macho last week nimepita hapo Lebanon one Kwa jamaa zangu family friend kauliwa dada yake kwenye gari alikua kujitafutia riziki drone ikasambua gari nzima. Lengo wanaitaka Lebanon nayo watu kuishi kwenye nchi yao
Wewe huwezi kuwajua wayahudi maana umejazwa uongo sana huyo wa aliyeuwawa huko Lebanon ni Gaidi na ni haki yake auliwe bila huruma yoyote!!
 
Attachments

  • IMG_3067.jpeg
    IMG_3067.jpeg
    186.3 KB · Views: 27
  • IMG_3066.jpeg
    IMG_3066.jpeg
    155.5 KB · Views: 26
  • IMG_0800.mp4
    2.3 MB
Back
Top Bottom