Msikiti uliokuwa unatumika na Al-Kawthar na jengo la makazi kusini mashariki mwa Khan Younis waangamizwa

Msikiti uliokuwa unatumika na Al-Kawthar na jengo la makazi kusini mashariki mwa Khan Younis waangamizwa

Sababu za Ehud Olmert yeye anataka tu Benjamin Netanyahu ashindwe na Likud itolewe kwenye madaraka maana wao ndiyo walimshtaki na akapatikana na hatia akafungwa!!

Kwa Ehud Olmert hata Benjamin Netanyahu akitoka Ehud Olmert hawezi kuwa waziri Mkuu wala Member of Knesset (MK) maana alishafungwa jela yeye yupo hapo kuharibu tu ingekuwa Tanzania angetafutwa na WASIOJULIKANA na kupotezwa!! Maana alikuwa Anatola maneno ya uongo na uchochezi kutoka Gazeti lake analoliandikia la Haaretz

View: https://x.com/haaretzcom/status/1811894556125691972?s=61

Sahihi kabisa mkuu, lakini hata angekua ndio PM wa Israeli bado nae angefanya hiki kimacho fanywa na Netanyahu. Remember the 2006 war, Israeli against Hezbollah, ni huyu ndio alikua PM wa Israeli; je kuna tofauti yeyote na anacho kifanya Netanyahu leo? When it comes to their land, these guys speaks one language; anachokifanya Ehud kwasasa ni just propaganda ili kuwadanganya naadui wa Netanyahu. Netanyahu anaonekanaka ni nwenye msimamo mkali kwasababu 2 ( kwa mtazamo wangu)
1. Malezi aliolelewa akiwa mtoto. Huyu jamaa baba yake alikua moja kati ya marabi waliokua wakiheshimiwa sana pale middle east so huenda baba yao (rabi kwa hapa kwetu we could call as askofu ) alikua anawafundisha pia nyumbani kwake historia yao
2. Benyamin ana historia ya kulitumikia jeshi la IDF, yeye na marehemu kaka yake Jonathan. Benjamin alifikia level za ukomandoo jeshini. Mafunzo ya hali ya juu kabisa katika jeshi bora duniani. Kaka yake ndio aliyetengeneza mchoro wa kwenda kuwaokoa mateka wa Kiyahudi pale Entebbe Uganda, enzi za Idd Amin Dada.

Mtu kama huyu hawezi kucheka na magaidi, hawezi kucheka na watu wanaotaka kuwaangamiza Wayahudi. Huyu alizaliwa miaka hiyo hiyo ambayo Wayahudi walikua wanarudi nyumbani kutoka Uhamishoni.
 
Naona kuna kavita ketu kadogo.humu kati ya mashabiki wa kobazi na mashabiki wa wanazareti
 
Hili la Wayahudi kutaka kuufuta Uislam nadhani ni uongo, yaani hata wewe unajua kua ni UONGO. Chuki ya Wayahudi na Uislam ilitengenezwa na Mohammed mwenyewe, Wayahudi hawana historia ya kuuchukia Uislam na Waislamu popote duniani. Waislamu wanawachukia Wayahudi tokea enzi Uislam unaanza but wao hawaja wahi kuonesha chuki kwao. By the way, over 18% ya Wayahudi ni Waislamu then how useme Wayahudi wana chuki na Uislam? Sio kweli! Kwenye hi dunia, Uislam na Waislamu ndio wenye chuki. Mbona hatusikii Wayahudi wakiua yeyote nje ya middle east? USA wapo tena wengi tu na wana nguvu but hatusikii wakiua, matukio ya kuuana uana yanapendwa na kufanywa sana na Waislamu kote duniani, wapo Msumbiji, Tanzania, mashariki ya kati, Ulaya, Somalia hadi Australia
Humu najadili na watu wapuuzi wapuuzi tu angalia kuhusu historia ndio utaelewa kwa jicho kali vinginevyo huwezi jua kiurahisi, iko hivi wayahudi sio tu kuuchukia uislam mtu yeyote ambaye si myahudi kwao hana maana, kingine a angalia Ni nchi ngapi za uislamu myahudi katia chokochoko kwa US zilishambuliwa? Libya, Afghanistan, Syria, Lebanon Iran ya Sasa dawa inachemka. .ukitaka kujua chuki ya myahudi kuhusu uislamu soma vizuri ajenda yao ya (Greater Israel). Wao wanaenda chini kwa unafiki wakitanguliza US (kubwa jinga) msikiti wanataka wabomoe wanafitna na kejeli na dhulma kuu
Katika historia wao ndio walifanya njama ya kumfanyia uchawi Muhammad Saw, Hii chuki ni ya asili Uislam na batili ni maji na moto, ona saivi waislamu wenyewe wanavyoichukia saidia,uae kwasababu ya kufanya ubatili hata wewe ukifanya ujinga uislamu hausopot upuuzi hivyo kuna sababu ya sisi kuwachukia wapumbavu
 
Attachments

  • Screenshot_20250531-100650.png
    Screenshot_20250531-100650.png
    120.2 KB · Views: 19
Humu najadili na watu wapuuzi wapuuzi tu angalia kuhusu historia ndio utaelewa kwa jicho kali vinginevyo huwezi jua kiurahisi, iko hivi wayahudi sio tu kuuchukia uislam mtu yeyote ambaye si myahudi kwao hana maana, kingine a angalia Ni nchi ngapi za uislamu myahudi katia chokochoko kwa US zilishambuliwa? Libya, Afghanistan, Syria, Lebanon Iran ya Sasa dawa inachemka. .ukitaka kujua chuki ya myahudi kuhusu uislamu soma vizuri ajenda yao ya (Greater Israel). Wao wanaenda chini kwa unafiki wakitanguliza US (kubwa jinga) msikiti wanataka wabomoe wanafitna na kejeli na dhulma kuu
Katika historia wao ndio walifanya njama ya kumfanyia uchawi Muhammad Saw, Hii chuki ni ya asili Uislam na batili ni maji na moto, ona saivi waislamu wenyewe wanavyoichukia saidia,uae kwasababu ya kufanya ubatili hata wewe ukifanya ujinga uislamu hausopot upuuzi hivyo kuna sababu ya sisi kuwachukia wapumbavu
Labda tuwaulize watu Atheists kama bwana Kiranga Endapo atakua kazungukwa na Waislamu wenye msimamo mkali au Myahudi mwenye msimamo mkali? Wapi atahisi usalama wake upo hatarini?
 
Labda tuwaulize watu Atheists kama bwana Kiranga Endapo atakua kazungukwa na Waislamu wenye msimamo mkali au Myahudi mwenye msimamo mkali? Wapi atahisi usalama wake upo hatarini?
Myahudi mwenye msimamo mkali unaweza kubishana naye kidhahania kama atheist bila matatizo.

Muislamu mwenye msimamo mkali anakulazimisha useme shahada ama sivyo anakulipua. Anakwambia jakuna mabishano ya mantiki na majahili makafiri.
 
Hili ndio ninalo lijua hata mimi, na nilitaka mtu ambaye yupo neutral kama wewe tofauti na huyu bwana niliyekua na discuss nae, tunatanguliza mahaba kuliko facts hata kwa mambo yalio wazi kabisa. Brother gTurn Come back here and read what the Atheist says
 
Israel na ujinga wao wote wa ubaguzi, lakini kuna ma atheist kibao wanaojulikana wazi wanafundisha mpaka vyuo vikuu.

Jaribu hivyo Saudi Arabia uone.
 
Wewe ni mpumbavu yaani forma prime minister and mayor unambeza? Ni sawa na Mizengo Pinda atamke neno hapa Tanzania litachukuliwa kwa uzito upi kutokana na heshima yake na uzoefu wake kama waziri Mkuu aliyepita? Mnajitoa ufahamu kuua watu 600+ njaa sio war crime? Wewe ni mjinga huyo unaye msafisha myahudi nilishakwambia kwa dunia ya leo kijiji hautaweza hata kidogo

Ehud

Mayor of Jerusalem (1993-2003)
Prime Minister. (2006-2009)

Na bado anakula pensheni za serikali anasema kuna war crime Gaza halafu wewe maji matitu kajamba nani unabwabwaja upuuzi wako hapa. Anaye kusikiliza naye apimwe ubongo huyo ni top official ndio
Mbona warioba ametamka?
 
Israel na ujinga wao wote wa ubaguzi, lakini kuna ma atheist kibao wanaojulikana wazi wanafundisha mpaka vyuo vikuu.

Jaribu hivyo Saudi Arabia uone.
Nimeandika sana hili humu kaka, fundamentalist hawaelewi. Nawapa mfano hadi wa mmiliki wa Facebook kwmba nae ni Myahudi but haamini katika Mungu, yaani nae ni Atheist but still watu hawaelewi.
 
Msikiti wa Al-Kawthar na jengo la makazi kusini mashariki mwa Khan Younis yameangamizwa mapema leo na zaidi ya watu 80 waliokuwa ndani nao wameangamizwa.

Ifike pahali wafilisti wakubali kwamba hawawawezi wayahudi. Hii Vita tunaiona mwilini lakini ukweli ni kwamba iko katika ULIMWENGU wa roho. The only solution ni wafilisti wanyanyue mikono juu na kusurender .
 
Israel na ujinga wao wote wa ubaguzi, lakini kuna ma atheist kibao wanaojulikana wazi wanafundisha mpaka vyuo vikuu.

Jaribu hivyo Saudi Arabia uone.
Israel hakuna ubaguzi!!!
 
Wamewabagua mpaka Wayahudi weusi ma Falasha.

Ila kama una mahaba huwezo kuona.
Mwenyewe niko huku sioni lakini wewe bumunda uko Bongo ndiyo unajifanya unajua acha Ujinga wako!!!
 
Mwenyewe niko huku sioni lakini wewe bumunda uko Bongo ndiyo unajifanya unajua acha Ujinga wako!!!
Inawezekana uko huko lakini ni mjinga sana unabaguliwa ila wewe kwa sababu ni mjinga sana hujui kuwa unabaguliwa.
 
Hili ndio ninalo lijua hata mimi, na nilitaka mtu ambaye yupo neutral kama wewe tofauti na huyu bwana niliyekua na discuss nae, tunatanguliza mahaba kuliko facts hata kwa mambo yalio wazi kabisa. Brother gTurn Come back here and read what the Atheist says
Uislamu jinsi ulivyo ukiufuata lazima watu waseme wewe nisiasa kali mimi nimeanza kuitwa siasa kali niko chuo baada ya kufuga ndevu nyingi mpaka sasa watu wananiita siasa kali, lakini katika dini hakuna kitu kama hicho sema dini yetu ni vile haitaki masikhara, pamoja na yote kuna tofauti kubwa kati ya uislamu na uarabu nimekua nikisema humu mara kwa kwara, mimi nina watu wengi mno ninajadili nao ndani na nje ya nchi mijadala ya kufa mtu lakini siwezi kumuua mtu eti kisa kanipinga au nimlipue uislamu hauko hivyo japo ndugu zetu kisimani waarabu wanajazba zakupita kipimo lakini huwezi kuconclude baadhi ya waislam kubwa ndio wote Wana mentality hio, nina akina echolima Zaidi ya mia wasap na telegram wote tunajibizana wengine wanatumia kiarabu tupu hawajui hata kiingereza mpaka sasa namimi kiarabu kinaanza kupanda, na ni waislam lakini ni kuvumiliana kusema muislam atakulipua mukijibizana huyo hana dini kwani dini ya kiislam imeenda mbali kwenye ishu ya kuua, ukiua mmoja inaandikwa Zambi ya kuua umma mzima kwa huo kiimàani mnatukosea kwa kutuchanganya na waislam na wale ambao hawajauelewa uislamu kwa kutenda maovu wazi kisa siasa
 
Back
Top Bottom