gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,557
- 7,302
Humujui myahudi au unajitoà ufahamu kisa uchawa wako dhidi ya mjalaana myahudiIsrael hakuna ubaguzi!!!
Humujui myahudi au unajitoà ufahamu kisa uchawa wako dhidi ya mjalaana myahudiIsrael hakuna ubaguzi!!!
Hapana,Ujinga na upumbavu ndiyo unakutuma hivyo??
Watu hawataki makeleleMwezi uliopita waliushusha kama hivi View attachment 3351218
Mimi sijawahi kufika Israel, hivi wewe kuwa kwako Israel ndio kuwafanya wengine wasiijue Israel? Wewe ni mzima kweli kichwani? Mimi naweza kuja hapo tele Aviv lakini nisijue kwasababu sijafuatilia tu. Lakini watu ambao habari zao tunazo na vitendo vyao tunaviona? Mahaba yanakuua wewe, mimi sijawahi kufika Yemen lakini watu wa Yemen nawajua ni watu wa aina gani, kujua sio lazima kufika nilishakwambia usituletee ujuaji kufika hapo kwa mayahudi mimi niko km chache tu kutoka hapo tele viv, niko cyprus kwasasa, lakini siwajui watu hawa Cyprus kiundani kwakuwa zijawafuatilia na sitaki tu kuwajua lakini siku nikipata interest itakayonilazimu nitawajua tu simply like that hivyo kujua kuto kujua ni ufuatiliaji wa jambo husika.Mimi na wewe ambaye hujawahi kufika Israel nani anawajua zaidi wayahudi?
Nimemkumbuka mizengo pinda yeye alikuwa anasema wapigwe tu ila sasa hivi wauliwe tu.Wapigwe tu maana hamna namna
Ni kweli Jewish state si ya kibaguzi watu wa aina zote dini zote wanaishi hapa kila mtu ana haki sawa. Unaruhusiwa kusali dini yako bila shida unaruhusiwa kutangaza Imani yako bila shida unaruhusiwa kujenga nyumba ya ibada bila kizuizi chochote.Hapana,
Ujinga ndiyo unakufanya uone nchi inayojiita Jewish state si ya kibaguzi.
Ukishaita nchi Jewish state ushatangaza ubaguzi kwa wasiokuwa Jewish.Ni kweli Jewish state si ya kibaguzi watu wa aina zote dini zote wanaishi hapa kila mtu ana haki sawa. Unaruhusiwa kusali dini yako bila shida unaruhusiwa kutangaza Imani yako bila shida unaruhusiwa kujenga nyumba ya ibada bila kizuizi chochote.
Kama unataka ubaguzi nenda maeneo wanayokaa waarabu ni hatari hata kuishi tu, jaribu kwenda nchi za kiarabu kama vile Oman,Saudia na you nchi zingine ndipo utajua waarabu ni watu wabaguzi na wabaya kupindukia. Huruhusiwi kutangaza dini yako huruhusiwi kutangaza dini yako hata tu mitaani.
Ole wako mweusi uparte kazi kwa mwarabu wafa hapo hapo utageuzi kuwa mtumwa utabaguliwa mpaka wakati wa kula utakuwa unakula peke yako kama una Ukoma, Ole wako kabisa ukiwa Mfanyakazi Mwanamke kazi za ndani utafanyizwa na mzigo kwa boss utatoa ( midinyano) tu na ukikataa wako tayari kukuua na kukutupa chojni.
Kama huamini waulize dada zetu wa ki Afrika walioko nchi za kiarabu au nenda youtube ukaone mateso wanayopata Binti za ki Afrika huko utalia mwenyewe ndipo utajua mwarabu si mtu ni Sub-Human ukitaka nikuwekee video hapa utashangaa huku nilipo ukienda Jerusalem mji mkongwe kuna maeneo wanakaa waarabu mtupu ni hatari sana wayahudi wenyewe hawezi kwenda huko mpaka awe na Polisi hata wageni labda uwe Mwislamu/Mwarabu mwenzao bila hivyo lolote Inaweza kukutokea huko.
Wewe endelea tu kuwapambania miguu waarabu maana huwajui siku ukiwajua utajua Kuzaliwa kwanza wao hawana ubinadamu wao kukuua si kitu maana wana kupita ni Kafiri na kutokana na dini yao kukuua si tatizo yaani wanakuua kama kuku tu.
Ambaye hawajui niambie nikuwekee video za waliyoyafanya Oct 07,2023 ni vya kinyama kupita kipimo mwafrika yeyote hawezi kufanya, walibaka wanawake Wakimaliza kuwabaka wana wapiga risasi maiti nyingi za wanawake walio ukiwa siku hiyo walikuwa chupi wamevulishwa harafu wamepigwa miti na vibaka hao. Waarabu si watu ni Mazimwi kabisa.
Wewe ni Mpumbavu!!!Ukishaita nchi Jewish state ushatangaza ubaguzi kwa wasiokuwa Jewish.
Kuna Waisraeli Waislamu hao si Jewish, sasa nchi ikishaitwa Jewish state hao washakuwa second class citizens.
Hapo wewe akili ndogo huelewi wapi?
Hizo habari za Waarabu ni logical non sequitur fallacy.
Kwa sababu waarabu juwa wabaguzi haizuii Jews juwa wabaguzi.
Kusema mimi ni mpumbavu bila kuonesha upumbavu wangu uko wapi ndiyo upumbavu wenyewe.Wewe ni Mpumbavu!!!
At least Leo uelewe somo ambalo tumekuwa tukitoa bure humu unapaniki nini? Kila siku tunakueleza sasa leo unaelezwa na atheist ambae hana upande maana ingekuwa mimi unagesema mfia dini, alhamdulillah bro Kiranga leo umeamua ugomvi mkubwa sana hapa sisi tumekua tukitoa darsa tunaambiwa wafua dini na matusi juuWewe ni Mpumbavu!!!
Huelewi hilo neno top official hv japa tz kikwete pinda sheria si top official ew ww rudi shule once a lion always alionHuu ni upotoshaji mkubwa kichwa cha habari kinasema-
Confessions from the Top: Israeli Officials Admit to War Crimes in Gaza.
Ukisoma habari humo ndani unaona Ehud Olmert aliyekuwa waziri Mkuu wa zamani na kiongozi wa cha upinzani cha KADIMA nchini Israel.
Kwa akili yako unafikiri Ehud Olmert na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wanatoka chama kimoja?
Hapana, Ehud Olmert na Benjamin Netanyahu hawakutoka chama kimoja. Ehud Olmert alikuwa mwanachama wa chama cha Kadima, ambacho kilianzishwa mwaka 2005 kama chama cha wastani kilichotokana na mgawanyiko wa chama cha Likud. Kwa upande mwingine, Benjamin Netanyahu amekuwa mwanachama wa chama cha Likud kwa muda mrefu na ameongoza chama hicho tangu miaka ya 1990 hadi sasa.
Kwa muhtasari, ingawa Olmert aliwahi kuwa katika Likud hapo awali, aliondoka na kujiunga na Kadima, ambacho kilikuwa na itikadi tofauti na Likud, ambayo Netanyahu anaongoza kwa hali hiyo lazima tu atainanha Israel na huyo si Government Official wala Top Official kama ulivyopotosha!!!!
Linasema nini hili gaidiM
Mwenye Chuki mwenzako huyu hapa naye kauliwa Mhubiri Sheikh Nael Misran aliuawa alipokuwa akihamasishwa chuki dhidi ya Israel huko Al-Qarara, kaskazini mwa Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
Acha ujinga wapi mimi nilijihusisha na UDINI wenu! Wapi Mimi nilikuambia wewe mfia dini tatizo lako Taqiyyah uongo uongo tu unakusumbua. Wewe huwezi kunipa darasa la Chuki na Taqiyyah nikalikubali.At least Leo uelewe somo ambalo tumekuwa tukitoa bure humu unapaniki nini? Kila siku tunakueleza sasa leo unaelezwa na atheist ambae hana upande maana ingekuwa mimi unagesema mfia dini, alhamdulillah bro Kiranga leo umeamua ugomvi mkubwa sana hapa sisi tumekua tukitoa darsa tunaambiwa wafua dini na matusi juu
Malizana na kiranga kwanza tembea na hoja mimi nipo humu tuko pamoja kila siku na tutaendelea kuwa pamoja Inshallah, hivyo malizana nae kwa hoja sisi tutaendelea kuitana wapumbavu baadae usjaliAcha ujinga wapi mimi nilijihusisha na UDINI wenu! Wapi Mimi nilikuambia wewe mfia dini tatizo lako Taqiyyah uongo uongo tu unakusumbua. Wewe huwezi kunipa darasa la Chuki na Taqiyyah nikalikubali.