Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻

Much respect hamiss77, kama hauna jina la kikristo uniambie nikutafutie zuri mkuu
 
Sawa kwahiyo Hawa majini wakina rahma walikuwa malaika au pia ni Bado malaika
 
Ni kweli
na mengi tunatakiwa kuyajua
Yesu akasema nitawaachia Roho Mtakatifu. Kwa hiyo
Kuna mengi ambayo bado tunatakiwa tujifunze
 
Hakuna maandiko ya kale yanayosema malaika waliasi, narudia hakuna kwahiyo uje na andiko hilo
Yapo mengi tu, ngoja nianze na haya ,labda useme kwenye uislamu hakuna

Biblia ipo na maandiko yanayosema malaika waliasi:

2 Petro 2:4 “Kwa maana Mungu hakuwaacha malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni, akawatia katika vifungo vya giza, walindwe hata ije siku ya hukumu.”

Yuda 1:6 “Na malaika wasioilinda milki yao ya kwanza, bali waliliacha makao yao wenyewe, amewaweka katika vifungo vya milele, chini ya giza, hata ije siku ya hukumu kuu.”
 
Agano la kale linasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…