Kabla sijaenda huko, umeelewa hayo maandiko ?Agano la kale linasemaje?
Kwahiyo hili andiko ndo linasema malaika kaasi, embu fafanuaKabla sijaenda huko, umeelewa hayo maandiko ?
Maana biblia ni agano jipya na kale
Agano la kale
Isaya 14
13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
14 Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.
15 Lakini utashushwa mpaka kuzimu; Mpaka pande za mwisho za shimo.
16 Wao wakuonao watakukazia macho, Watakuangalia sana, wakisema, Je! Huyu ndiye aliyeitetemesha dunia, Huyu ndiye aliyetikisa falme;
17 Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?
Nitakupa matano naomba uchague mojaa baada ya kufanya utafiti.La kale maana huko ndio Kuna mashujaa wengi,
Daudi, Eliya,Elisha,Daniel , Ezekiel,Yeremia,n.k
😂😂😂😂Wewe Hamisi tukikukamata ni bakora hamsa-hamsa mpaka ukome.😂😂😂😂
Yafaa asomewe fatwa.😂😂😂😂
Kawa kafir 😂😂😂
Na swali dogo tuKwahiyo hili andiko ndo linasema malaika kaasi, embu fafanua
Itakuwa heshima kwangu ukichagua moja wapo mkuuNathan nabii au Micah natafakari mojawapo kati ya hayo
Hatujapewa kivipi ? Kwamba Mungu alisubiri Hadi karne ya 7 ndio akaleta elimu ya majini ?Naam!. elimu ya kuyajua majini ni elimu ambayo Wakiristu hawajapewa.
Na kwa sababu elimu ndogo ni tatizo basi wao wanapinga revelation.
Ahlul-badr😂😂Yafaa asomewe fatwa.
Lisome vizuri ,linamuhusu Lucifer ,Kuna NITA zipo 5 hapo ,anajiinua kutaka kuwa MunguKwahiyo hili andiko ndo linasema malaika kaasi, embu fafanua
Madhara yake ni makubwa sanaBila majini sidhan kama ningekuwa na uwezo wa kifedha nilionao leo
Ngoja nikuchanganye akili tu:Uisilamu ulikuwepo tangu enzi za Nabii Abraham ila uisilamu ulianzishwa karne ya saba.Hatujapewa kivipi ? Kwamba Mungu alisubiri Hadi karne ya 7 ndio akaleta elimu ya majini ?
Majini ni mapepo wachafu Mzee, kama umewahi kumuombea mwenye mapepo na majini utanielewa
Majini ni aina tu ya mapepo
Nimekupa Isaya 14:13-Ndugu zangu wakristo hakuna andiko katika agano la kale linalosema kuna malaika kaasi Kawa shetani, malaika ni viumbe watakatifu na watiifu kwa Mungu hawatakuja kuasi kamwe.
Kama Kuna mwenye andiko hilo alete hapa tujadili mambo ya kudanganya yamepitwa na wakati
Mi nitafutie linaloweza kufua na kutengeneza mazingira huko nje..sh ngapi?Heri yangu mimi sijasema.
NB:Nikuuzie jini moja uwe unalituma "marikiti" mkuu?Bei tutaelewana.
Hakuna malaika alieasi kama ww unaandiko linasema hivo leta hapa acha ngonjeraNa swali dogo tu
Kwa ww
Majini na mapepo ni
Malaika wamemuasi au hawajumuasi Mungu?
Ili tujue upo upande gani
AmenTuombeane Dada Joannah
Hatujapewa kivipi ? Kwamba Mungu alisubiri Hadi karne ya 7 ndio akaleta elimu ya majini ?
Majini ni mapepo wachafu Mzee, kama umewahi kumuombea mwenye mapepo na majini utanielewa
Majini ni aina tu ya mapepo