Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Mkuu mbona unalazimisha nikubali jambo ambalo halipo?Hizo sio tafsiri zangu binafsi,
Kwamba hujaona nimekupa tafsiri za mitume kama Petro na Yuda nduguye Yesu ?
Shida unabagua maandiko unasema hutaki agano jipya
Hata hilo agano la kale ,Bado maswali ukiulizwa hujibu ,unasema nikawaulize Jews
Sasa hapa najadili na ww au Jews?
Sikiliza weka tafsiri rasmi ya andiko acha ngonjeraLini mfalme wa Tiro alikuwa edeni ?
Lini alikuwa na madini 10 ya thaman mwilini mwake?
Hiyo ni lugha ya metaphor kama ya isaya 14 ,anayetajwa hapo ni Lucifer
Kwamba tukatae maandiko ya mitume na manabii wa Yesu ?Mkuu mbona unalazimisha nikubali jambo ambalo halipo?
Tafsiri yatoka kale kabla ya kuja YESU ndo hizo huyo nduguye YESU aliandika hayo kipindi YESU yupo? Na je YESU mwenyw ashawahi sema hayo popote?
Kama kuna sehemu kasema basi agano la kale linapingana na jipya?
Halaf mwisho maandiko yote ya kale yanatafsiri zake tayari kabla hata YESU hajaja duniani kwahyo ww kuja na tafsiri zako binafsi au za Karne ya 15 baada ya YESU hilo ni tatizo lako sio langu
HOJA kuwa mm najifanya Jew ni dalili ya kutapatapa, maana hayo maandiko yalikuwepo kabla ya ukristo na tafsiri yake ipo kabla ya ukristo pia
Maandiko yote yanatafsiri zake rasmi, kwahiyo ndo uweke tafsiri rasmi ya hiyo Aya yako kutoka kote kwa wayahudi wenyewe na wakristo halafu ndo watu wachague wanaenda na ipi.Tafsiri rasmi ya nani?
Mbona nikikuliza maswali kwa hiyo tafsiri unayoleta huyajibu?
Kwa mujibu wa wayahudi wenyewe na ukipenda weka na ya kwamujibu wa wakristo piaTafsiri rasmi ya nani?
Mbona nikikuliza maswali kwa hiyo tafsiri unayoleta huyajibu?
Tafsiri rasmi kutoka kwa nani ?Maandiko yote yanatafsiri zake rasmi, kwahiyo ndo uweke tafsiri rasmi ya hiyo Aya yako kutoka kote kwa wayahudi wenyewe na wakristo halafu ndo watu wachague wanaenda na ipi.
Mwisho hayo maswali yako kawaulize wayahudi mm sina uwezo wa kutafsiri andiko lolote lile tofaut na wao wenye kitabu chao kama WW
Weka tafsiri rasmi ya andiko hili Kila mtu aone acha kuzunguka zunguka.Kwamba tukatae maandiko ya mitume na manabii wa Yesu ?
Sasa mbona hiyo tafsiri unaong'ang'ania nilikuuliza maswali hutaki kuyajibu ?
Cha ajabu pia unataka tuamini maneno ya muhamad kuhusu Yesu baada ya miaka 600
Ila hutaki tuamini maneno ya mitume waliokaa na Yesu
Yesu mwenyewe anasema NALIMWONA SHETANI AKISHUKA CHINI KAMA UMEME
Unalazimisha kujifichia agano la kale ,nikikuhoji maswali kuhusu hizo Aya hujibu
Sasa mbona hueleweki msimamo wako ni upi
Mimi hapa naamini biblia 100% sio kipande
Mfano hata mmoja mkuu kama hutajali.Yapo mengi yanaitwa hadi ya kikristo sema umeamua tu kutokujua
Nilete kutoka kwa nani ?Weka tafsiri rasmi ya andiko hili Kila mtu aone acha kuzunguka zunguka.
Hayo maswali yako kawaulize wayahudi mm sio nilietafsiri hilo andiko mtumish Hamis.
Nawasilisha
Yuda na Petro ni wajuzi juzi na hayo maandiko yana Karne na Karne kwahiyo unataka kusema kabla ya yuda na Petro wayahudi walikua hawajui maana ya hilo andiko?Tafsiri rasmi kutoka kwa nani ?
Wayahudi hata Petro ,Yuda ni wayahudi nimekupa maandiko
Kama maswali huwezi kuyajibu unasingizia nikawaulize wayahudi
Wewe unafanya nini sasa ?
Mimi nataka mjadala na mtu anayejua anachojadili ,sio kusema nikawaulize wayahudi
PaimonMfano hata mmoja mkuu kama hutajali.
Mm sio mtafsiri naww pia sio mtafsiri acha siasa weka andiko na tafsiri zake, huwezi kwaherNilete kutoka kwa nani ?
Wewe umesema wayahudi wanasema ni mfalme wa babeli ,sijakuhishia ,wayahudi wanamitazamo mingi tofauti hata zile Aya za kimasihi , kwakuwa na wewe wunakubaliana na mtazamo wao kwenye hiyo isaya 14 ,basi Nikakupa maswali kama unavyodai ,hujayajibu
Labda niyarudie kwakuwa unasema ni mfalme wa babeli ,maswali ni haya
Lini Mfalme wa Babeli βalikuwa juuβ kama andiko linavyosema, na ni wapi maandiko yanathibitisha kwamba alianguka mbinguni?
Je, Mfalme wa Babeli anaweza kweli βkupanda mbinguniβ au kuishi katika kiti cha enzi cha mbinguni, au hili ni maneno ya kifalme/kishairi?
Andiko linaposema βnyota ya asubuhi, mwana wa alfajiriβ, je, hili ni jina la kifalme la kibinadamu au jina la kiumbe wa kiroho?
Ni kwa nini maandiko yanatumia maneno ya kifalme kama kupanda, kushuka, kiti cha enzi, ambayo kwa ufahamu wa kifalme ni metaphor, si literal?
Eti ni wajuzi π€£π€£Yuda na Petro ni wajuzi juzi na hayo maandiko yana Karne na Karne kwahiyo unataka kusema kabla ya yuda na Petro wayahudi walikua hawajui maana ya hilo andiko?
Pili kila andiko linatafsiri yake tayar kwahiyo usijizungushe na tafsiri zako binafsi weka tafsiri rasmi kutoka Kwa wayahud na wakristo halaf tuendelee kujadili
Kama huwez kuweka hizo tafsiri kwaher
Tatizo huna elimu ya maandiko, ndio maana hutaki kujibu maswali ,unawezaje kung'ang'ania kitu ,lakini huwezi kukitetea ,cha ajabu unasema nikawaulize wayahudi sasa hapa unafanya nini ?Mm sio mtafsiri naww pia sio mtafsiri acha siasa weka andiko na tafsiri zake, huwezi kwaher
Dah πππEti ni wajuzi π€£π€£
Yesu ndiye Mwalimu wao ,Unajua Yesu alikuwa Rabi pia?zaidi hata kuliko hao walimu wa kiyahudi ,sasa hiyo wanafunzi wake Hawa hapaππ
malaika waliasi:
2 Petro 2:4 βKwa maana Mungu hakuwaacha malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni, akawatia katika vifungo vya giza, walindwe hata ije siku ya hukumu.β
Yuda 1:6 βNa malaika wasioilinda milki yao ya kwanza, bali waliliacha makao yao wenyewe, amewaweka katika vifungo vya milele, chini ya giza, hata ije siku ya hukumu kuu.β
Ww huna elimu yoyote ya kutafsiri maandiko ya kale acha kujipa uwezo usiokua nao.Tatizo huna elimu ya maandiko, ndio maana hutaki kujibu maswali ,unawezaje kung'ang'ania kitu ,lakini huwezi kukitetea ,cha ajabu unasema nikawaulize wayahudi sasa hapa unafanya nini ?
Unataka nitetee Nini?Mwenye shida Mimi au wewe ?
UNAWEZAJE kung'ang'ania kitu lakini huwezi kukitetea unasema nikaulize wayahudi π€£π€£
Sasa wapi nimesema nimetafsiri ππWw huna elimu yoyote ya kutafsiri maandiko ya kale acha kujipa uwezo usiokua nao.
Unataka kujifanya ndo unajua sana AGANO la kale kuliko wayahudi wenyewe waliopewa kitabu Toka 15K.K?