Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote.

Nawashauri sana, msikubali teuzi zitakazowavua nafaso zenu za awali mlizokuwa nazo ili mtumikie teuzi (nafasi mpya) siku mkija tenguliwa katika nafasi hizo mtajikuta nmekosaa vyote na mtaalazimishwa kustaafishwa kabla ya wakati

Tusiwe na tamaa kubali kidogo ulichonacho kama bado haujajipanga mbeleni..
 
Ukikataa teuzi utaundiwa zengwe sio la nchi hii yajayo yanafurahisha sio kwa bongo hii hiyo inaitwa win or lose.
 
Ipi bora kupata Teuzi utakayoifanyia kazi kwa wasiwasi muda wowote kuondolewa au ubaki na kazi uliisomea na uliyokuwa mayo kabla ya teuzi..
Basi iwepo sheria yeyote atakayetenguliwa basi aendelee na majukumu take ya awali kabla ya teuzi
 
Mfano unateuliwa kuwa mkuu wa wilaya au mkoa, mwaka mmoja baadae unatenguliwa, utaona aibu kurudi kwenye nafasi yako ya awali. I aka ( mwaipaya, but I Hasani ngoma, and others
 
Lazima wabadilishe waweke ukitenguliwa utarudi kwenye nafasi yako ya awali
 
Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote.

Nawashauri sana, msikubali teuzi zitakazowavua nafaso zenu za awali mlizokuwa nazo ili mtumikie teuzi (nafasi mpya) siku mkija tenguliwa katika nafasi hizo mtajikuta nmekosaa vyote na mtaalazimishwa kustaafishwa kabla ya wakati

Tusiwe na tamaa kubali kidogo ulichonacho kama bado haujajipanga mbeleni..
Kubali teuzi then nenda kafanye kazi kwa maadili utadumu na utapata teuzi kubwa zaidi
 
Ipi bora kupata Teuzi utakayoifanyia kazi kwa wasiwasi muda wowote kuondolewa au ubaki na kazi uliisomea na uliyokuwa mayo kabla ya teuzi..
Basi iwepo sheria yeyote atakayetenguliwa basi aendelee na majukumu take ya awali kabla ya teuzi
We hujaona wale walimu walitaka kukataa teuzi uliona mkwara waliopigwa siku ile mpaka waka surrender.
 
Back
Top Bottom