Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote

Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote

Ndio maana aliyekuwa DC wa Tabora kaishitaki MAMLAKA ya uteuzi mahakani hii imekaaje
Kesi yake ni ya msingi, lakini kwa sheria na katiba yetu ilivyo inaweza mchelewesha kupata haki yake
 
Ilikuwa Vodacom yule jamaa sema aliona mbali
Hapana ni tigo na bado yupo Mwanza.Yeye alitaka kugombea Ubunge Jimbo la Urambo ashindane na Mzee Kapuya or Mama Sita akashauriwa awaachie kwanza wazee,akajionea michosho tu na alipoteuliwa akamshukuru Rais lakini hakukubali ule uteuzi.
 
Yaani nikatae teuzi kisa Nini?

Umenikumbusha Chadema walimwambia Aida kenan agomee ubunge , ili awe jobless kisa kuwafurahisha watu
Wakati lema angeshinda yeye pekeake angejiita jeshi la mtu mmoja na kizama mjengoni kula miposho
 
Hakuna kazi za hovyo kama ukuu wa wilaya ,ukuu wa mkoa na ukurugenzi wa halmashauri!!! Ni kazi za hovyo mno
 
mbona shaaban kisu karudi zake tbc anaendelea kupiga mzigo!? au umesahau kuwa novatus makunga yupo zake arusha akiripoti habari channel ten ingawa mwanzoni alikuwa itv?
Vipi kuhusu Gabriel Zacharia aliyekuwa tbc??
 
Mama ni wasikivu atarudishwa kazini
 
Hakuna kazi za hovyo kama ukuu wa wilaya ,ukuu wa mkoa na ukurugenzi wa halmashauri!!! Ni kazi za hovyo mno
Kwanini wakati ni moja ya kazi yenye malipo vizuri ww huoni wakitajirika rejea makonda, yule mkuu wa wilaya jimbo la kina Mbowe, na wenvine wengi.
Na wakurugenzi wa halmashauri ndo watu wazito mawilayani na wenye mafungu hadi kuivimbiana na wakuu wa wilaya.
 
Back
Top Bottom