Uchaguzi 2020 Msimamizi adai amefuta mapingamizi yote Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, CHADEMA Wakanusha

Bwana Hamsini amefuta mapingamizi yote hapa Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake,amesema yeye hana na hataki kujijengea chuki kwa kufuata maelekezo ktoka juu,kuenguana wataenguliwa kwenye sanduku la kura na sio yeye.Ametupilia mbali mapingamizi yote,yaliyowekwa na CCM.
Hongera sana Bwana Hamsini umejitenganisha na wajumbe na kweli wapo watu wanajua kurekebisha usawa.
nakumbuka kitabu cha Mbutolwe mwana wa Umma.
Mingu ambariki msimamizi.Hakika ufalme wa mbingu ni wake.

Wale waliotoa maagizo ya kishetani watahukumiwa apa apa duniani
 
Bwana Hamsini amefuta mapingamizi yote hapa Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake,amesema yeye hana na hataki kujijengea chuki kwa kufuata maelekezo ktoka juu,kuenguana wataenguliwa kwenye sanduku la kura na sio yeye.Ametupilia mbali mapingamizi yote,yaliyowekwa na CCM.
Hongera sana Bwana Hamsini umejitenganisha na wajumbe na kweli wapo watu wanajua kurekebisha usawa.
nakumbuka kitabu cha Mbutolwe mwana wa Umma.

Busara kidogo tu haiwezekani kutumika kupisha shari? Kwa silika zetu ovu, huyo msimamizi sasa ni adui yao.

Ama kweli heri walio wapatanishi.

Cc: jiwe, bashiri, tume na hasa braza K.
 
Aibu kubwa Kwa mwasisi wa uharamia huu wa kupoka wapiga kura haki yao ya Kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka. Alaaniwe mtu huyu na mabaya yamfike hata hiyo tarehe 28/10/2020 asifike.
 
Huyo akiachwa kwenye nafasi yake itakuwa ni ajabu ya mwaka.

Katika chaguzi zilizopita, mkuu wa polisi Arusha(Shana..kama sijakosea) alienguliwa kwenye nafasi yake baada ya kusimama imara kwenye maadili ya kazi yake, hali ambayo ilisababisha Lema kutangazwa mshindi wa ubunge Arusha mjini kinyume na jinsi ccm walivyokuwa wanataka.
 
Amani ya nchi hailindwi na mitutu ya bunduki wala kwa mizinga ya kisasa,amani inalindwa na kitu kidogo sana kinaitwa HAKI ukitenda kwa haki, hutasikia watu wakipanga kuandamana.

Msimamizi wa uchaguzi katoa funzo ambalo hata wasimamizi wenzake wanatakiwa kuiga na hutasikia watu wakiandamana wala kuuana.
 
Huyo akiachwa kwenye nafasi yake itakuwa ni ajabu ya mwaka.

Katika chaguzi zilizopita, mkuu wa polisi Arusha(Shana..kama sijakosea) alienguliwa kwenye nafasi yake baada ya kusimama imara kwenye maadili ya kazi yake, hali ambayo ilisababisha Lema kutangazwa mshindi wa ubunge Arusha mjini kinyume na jinsi ccm walivyokuwa wanataka.
Unafanya stori yako yote idharaulike kutokana na kukosea mambo muhimu ndani ya stori.

Huyo Shana ameenda kuwa kamanda mkoa wa Arusha mwaka 2019. Sasa huko 2015 tafuta jina sahihi la kamanda wakati huo ndio uweke facts hapa.
 
Bwana Hamsini amefuta mapingamizi yote hapa Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, amesema yeye hana na hataki kujijengea chuki kwa kufuata maelekezo ktoka juu, kuenguana wataenguliwa kwenye sanduku la kura na sio yeye. Ametupilia mbali mapingamizi yote,yaliyowekwa na CCM.

Hongera sana Bwana Hamsini umejitenganisha na wajumbe na kweli wapo watu wanajua kurekebisha usawa. Nakumbuka kitabu cha Mbutolwe mwana wa Umma.
Kuna clip ya sauti yake angalau nisikie Happ aliposema hataki kufata maelekezo toka juu?
 
Bwana Hamsini amefuta mapingamizi yote hapa Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, amesema yeye hana na hataki kujijengea chuki kwa kufuata maelekezo ktoka juu, kuenguana wataenguliwa kwenye sanduku la kura na sio yeye. Ametupilia mbali mapingamizi yote,yaliyowekwa na CCM.

Hongera sana Bwana Hamsini umejitenganisha na wajumbe na kweli wapo watu wanajua kurekebisha usawa. Nakumbuka kitabu cha Mbutolwe mwana wa Umma.
Hata kama ame futa. Kinacho fuata mtaingia kwenye uchaguzi huku mkimsifu, na dunia kuona demokrasia imerudi Tz. Siku ya uchaguzi hamta tangazwa.. Mna hitaji kuwa na kikao cha. Mkakati na NEC kuwekana sawa. Jana mmeskia yule mgonjwa wa Kongwa ambae hatujui ana umwa nini jinsi alivyo ongea utaahira wake.. Kuna jambo hawa manyumbu wameliandaa. Wapinzani amkeni. Msilalamike mitandsoni tuu. Chukueni hatua zaidi ya kulalamika.
 
Bwana Hamsini amefuta mapingamizi yote hapa Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, amesema yeye hana na hataki kujijengea chuki kwa kufuata maelekezo ktoka juu, kuenguana wataenguliwa kwenye sanduku la kura na sio yeye. Ametupilia mbali mapingamizi yote,yaliyowekwa na CCM.

Hongera sana Bwana Hamsini umejitenganisha na wajumbe na kweli wapo watu wanajua kurekebisha usawa. Nakumbuka kitabu cha Mbutolwe mwana wa Umma.
Safi sana bora kuenguwana kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom