Uchaguzi 2020 Msimamizi adai amefuta mapingamizi yote Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, CHADEMA Wakanusha

Uchaguzi 2020 Msimamizi adai amefuta mapingamizi yote Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, CHADEMA Wakanusha

Mbona January Makamba aogopi uchaguzi mpinzani wake wa CDM aliposahau picha yeye mwenyewe ndio kashauri mkurugenzi ampe muda azifuate ajaze vizuri form wapambane kwenye sanduku la kura.

Huu ushindi wakupewa na wakurugenzi sio democratic kabisa, shughuli yote aliyowafanyia Magufuli huko majimboni kama awawezi tumia hayo maendeleo waliyopelekewa kujinadi hao watu jua bungeni wanaenda kugonga meza tu.

The whole thing as elements of cowardice behaviour, win on merit and nothing else; kwanza ushindi wa mezani ata auna raha.
ulimwona mpinazani wake lakin. hata km ni wewe utamwonea huruma kwanza anaonekana hana uwezo kabisa hata wa kuaandaa campeni hivyo january anajua kabisa hilo
 
Hivi sasa kuna msamiati mpya kwenye uchaguzi huu unasemwa " ameenguliwa kihuni" najaribu kutafakari kama mgombea amefanya makosa kujaza fomu akienguliwa nae pia atakuwa ameenguliwa kihuni?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuwa anachati....baada ya mjomba kumaliza kuimba meza kuu wote walipiga makofi kasoro yeye

Yule huwa wanamforce hana time hata msiba wa mkapa...alishtukizwa kuongea na mheshimiwa uliona alivojibu
 
Back
Top Bottom