Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.
Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana.
Usiishie kukutana na Watanzania wa Botswana kunywa whisky na wine!
Ukirudi nyumbani waambie CCM kwenye vikao vya ndani,mwambie na mama Abdul kwa faragha.
Botswana ni Nchi mojawapo ambayo ambayo imepiga hatua kubwa kimaendeleo!!
Ikiwemo ajira, afya, miundo mbinu, ni nchi inayonufaika sana na madini, pia crime rate ni ndogo sana,kuyataja machache.
WakatinTz Bado tupo kwenye kampeni ya nyumba ni choo.Watu kutekwa na kuuwawa kwa watanzania.
Pamoja na hayo yote Waswana wameamua kukipiga chini chama tawala!!!
Ikiwa Waswana wameamua hivyo Tanzania ni nini??
CCM ni nani?? Hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwakani.
Mjulishe mama, wana CCM wenzako kuwa lolote laweza kutokea mwakani!!
Somo pia kwa vyombo vya ulinzi na usalama kubakia neutral kutoingilia uchaguzi kuisaidia CCM.
Watu wa usalama, majeshi yote wako secured na ajira hata kiingie
chama Gani kuhusu uwepo wao, hofu ipo kwa makada wa wanasiasa ambao kuondoka CCM Kwao ni pigo.
Shime vyombo vya ulinzi na usalama visimamie haki .
Narudia Mh Pinda Mfikishie salamu Mama Abdul na CCM.
Nandagala one!!
Mpumalanga South Africa.