Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.
Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana.
Usiishie kukutana na Watanzania wa Botswana kunywa whisky na wine!
Ukirudi nyumbani waambie CCM kwenye vikao vya ndani,mwambie na mama Abdul kwa faragha.
Botswana ni Nchi mojawapo ambayo ambayo imepiga hatua kubwa kimaendeleo!!
Ikiwemo ajira, afya, miundo mbinu, ni nchi inayonufaika sana na madini, pia crime rate ni ndogo sana,kuyataja machache.
WakatinTz Bado tupo kwenye kampeni ya nyumba ni choo.Watu kutekwa na kuuwawa kwa watanzania.
Pamoja na hayo yote Waswana wameamua kukipiga chini chama tawala!!!
Ikiwa Waswana wameamua hivyo Tanzania ni nini??
CCM ni nani?? Hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwakani.
Mjulishe mama, wana CCM wenzako kuwa lolote laweza kutokea mwakani!!
Somo pia kwa vyombo vya ulinzi na usalama kubakia neutral kutoingilia uchaguzi kuisaidia CCM.
Watu wa usalama, majeshi yote wako secured na ajira hata kiingie
chama Gani kuhusu uwepo wao, hofu ipo kwa makada wa wanasiasa ambao kuondoka CCM Kwao ni pigo.
Shime vyombo vya ulinzi na usalama visimamie haki .
Narudia Mh Pinda Mfikishie salamu Mama Abdul na CCM.
Nandagala one!!
Mpumalanga South Africa.
Unaota mkuu ccm walisema hawawezi kamwe kukabidhi nchi kwa vipande vya karatasiHabari wanajamvi!

Unayeota ni wewe ambao unaamini kwenye maneno kuliko WAKATI!!!Unaota mkuu ccm walisema hawawezi kamwe kukabidhi nchi kwa vipande vya karatasi
Duuuu, wakati umeshafikaWaswana uwalinganishe na wabongo ???uelewa wao mkubwa sana,wabongo tuko bize na Simba na yanga plus uchawa..Upinzani nao hakuna team ya maan
Hahaha,ni sawa ufananishe uzalendo wa mwafrika kwa nchi yake (Yuko tayari kuhujumu nchi yake)na uzalendo wa mzungu kwa nchi yake(hawezi kuhujumu nchi yake),ni mbingu na ardhiDuuuu, wakati umeshafika
Unaijua jw au unahadithiwa tu baba ako mdg alikua mwanajeshi hilo haliwezekani kama nn fuatilia msemaji wa jeshi juz akizungumzq na eat African tvNi kweli, ila Jeshi la wanainchi lingesimamia weledi ingekuwa safi sana, wao wakila msimamo TISS hawana nguvu, kwa sababu TISS haina jeshi!!
JW wakisimama kwenye nafasi yao!! Jeshi la polisi wanafuata!!
JW ihakikishe aliyeshinda anatangazwa kama walivyosimamia katiba wakati wa kifo Cha Magufuli over.
Wakiendelea jidanganya watatuletea BLOODSHED!!!
Tuirithi sasa maana ni jambo jema kuwa na mifumo yenye kumwezesha mwananchi kujichagulia na kumwajibisha mtawalqNi mifumo mizuri ya nchi inaleta matokeo mazuri
Bado upo mbali sanaHahaha,ni sawa ufananishe uzalendo wa mwafrika kwa nchi yake (Yuko tayari kuhujumu nchi yake)na uzalendo wa mzungu kwa nchi yake(hawezi kuhujumu nchi yake),ni mbingu na ardhi