Msimamizi Mkuu wa SADC Uchaguzi wa Botswana Mzee Pinda mfikishie salamu Rais Samia

Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.

Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana.

Usiishie kukutana na Watanzania wa Botswana kunywa whisky na wine!
Ukirudi nyumbani waambie CCM kwenye vikao vya ndani,mwambie na mama Abdul kwa faragha.

Botswana ni Nchi mojawapo ambayo ambayo imepiga hatua kubwa kimaendeleo!!
Ikiwemo ajira, afya, miundo mbinu, ni nchi inayonufaika sana na madini, pia crime rate ni ndogo sana,kuyataja machache.

WakatinTz Bado tupo kwenye kampeni ya nyumba ni choo.Watu kutekwa na kuuwawa kwa watanzania.

Pamoja na hayo yote Waswana wameamua kukipiga chini chama tawala!!!

Ikiwa Waswana wameamua hivyo Tanzania ni nini??

CCM ni nani?? Hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwakani.

Mjulishe mama, wana CCM wenzako kuwa lolote laweza kutokea mwakani!!

Somo pia kwa vyombo vya ulinzi na usalama kubakia neutral kutoingilia uchaguzi kuisaidia CCM.

Watu wa usalama, majeshi yote wako secured na ajira hata kiingie
chama Gani kuhusu uwepo wao, hofu ipo kwa makada wa wanasiasa ambao kuondoka CCM Kwao ni pigo.

Shime vyombo vya ulinzi na usalama visimamie haki .

Narudia Mh Pinda Mfikishie salamu Mama Abdul na CCM.

Nandagala one!!
Mpumalanga South Africa.

Sio kwamba hajui mkuu, ni ngumu sana Tanzania kumwambia ukweli boss wako, kwa sbb utamaduni wetu wa usnichi
 
Mkuu 'nandagala', sijui wewe ni nini kilicho kufanya ufikirie huo uchaguzi wa Botwana ndilo liwe somo kwa CCM? Kwani kuna mfanano upi kati ya muundo/mfumo wao na Tanzania katika maswala haya, kiasi uanze kufikiria kuwafananisha?

CCM na huyo huyo Pinda mwenyewe walisha hitimisha siku nyingi sana kwamba wao 'model' yao sahihi ni Zimbabwe!

CCM kamwe hawana chochote cha kujifunza toka Botswana, ili kiwatie hofu ya kupoteza kitu.

Huko Botwana kwenyewe nako ulisikia chama chao kilifanya maandalizi ya wazi kabisa, tena bila ya hofu wala soni ya kulazimisha ushindi kama CCM wanavyo fanya hapa?

Sasa unawaasa jambo gani hawa CCM?
Pole sana, itoshe kusema kuwa hukusoma andiko sawasawa, au umesoma na hakuna ulichoelewa.

"Kama hujashiba vya kwenye sahani ,huwezi kushiba kwa kukomba sefuria "

Jifunze kusoma na ku interpret ujumbe.

Uzi wangu nimetumia lugha rahisi kueleweka.

Ungekuwa mwanafunzi NINGEKUITA SLOW LEARNER, sitaki kutumia neno hilo sio zuri kwa mwanafunzi.

Badala yake nikuite STUDENT WHO IS FACING DIFFICULT IN LEARNING 😀🤣😀🤣😀

You need remedial class to plaster 🤣🤣😀😀
 
Narudia keseama sisi wenyewe ndio tunaweza kuamua nini hatutaki au nini tuna taka, kwa watanzania kwakweli tusitegemee mageuzi yoyote kama hao Watsana tushau kabisa.
Uoga, ulio tujaa mioyoni mwetu tnabakia na kushangilia vya wenzetu tu.
Ni wizi wa kura na backup ya vyombo vya Dola over,sio woga!!
 
Naam, mwanae yupo kwenye teuzi, anaogelea kwenye tren ya michuzi!!
Demokrasia ya Botswana ilikomaa kitambo, kwenye chaguzi zao wananchi ndio wanaoamua nani ashinde kwani mifumo yao ipo huru. Hapa Tanzania kama hata tume tu ya uchaguzi ni kibaraka, vyombo vyote vya dola wanakihakikishia chama tawala ushindi, lije jua ije mvua.
 
Upo sahihi mkuu FOCAL,ndio maana katika Uzi nimezungumzia hilo vyombo vya Dola kuwa neutral!!
 
Bila kusahau, Ndugu Pinda amueleze Mh Rais kwamba ;
1.Tunahitaji KATiBA MPYA ILIYO BORA
2.Tume huru na shirikishi ya Uchaguzi
3. Mfumo mpya wa Serikali wa kugatua madqraka kwa wananchi kupitia Serikali za MAJIMBO ili yeye adili na MAKUBWA ya NCHI
 
Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.

Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana.

Usiishie kukutana na Watanzania wa Botswana kunywa whisky na wine!
Ukirudi nyumbani waambie CCM kwenye vikao vya ndani,mwambie na mama Abdul kwa faragha.

Botswana ni Nchi mojawapo ambayo ambayo imepiga hatua kubwa kimaendeleo!!
Ikiwemo ajira, afya, miundo mbinu, ni nchi inayonufaika sana na madini, pia crime rate ni ndogo sana,kuyataja machache.

WakatinTz Bado tupo kwenye kampeni ya nyumba ni choo.Watu kutekwa na kuuwawa kwa watanzania.

Pamoja na hayo yote Waswana wameamua kukipiga chini chama tawala!!!

Ikiwa Waswana wameamua hivyo Tanzania ni nini??

CCM ni nani?? Hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwakani.

Mjulishe mama, wana CCM wenzako kuwa lolote laweza kutokea mwakani!!

Somo pia kwa vyombo vya ulinzi na usalama kubakia neutral kutoingilia uchaguzi kuisaidia CCM.

Watu wa usalama, majeshi yote wako secured na ajira hata kiingie
chama Gani kuhusu uwepo wao, hofu ipo kwa makada wa wanasiasa ambao kuondoka CCM Kwao ni pigo.

Shime vyombo vya ulinzi na usalama visimamie haki .

Narudia Mh Pinda Mfikishie salamu Mama Abdul na CCM.

Nandagala one!!
Mpumalanga South Africa.

Siasa za Botswana na siasa za Tanzania hazifanani

Muhimu ujue Ian Khama ndiye amemuondoa madarakani Eric Masisi.
 
Upo sahihi mkuu FOCAL,ndio maana katika Uzi nimezungumzia hilo vyombo vya Dola kuwa neutral!!
Na mimi niliona nongezee kwenye uzi wako, mengi umeyaandika. Ila safari yetu kwenye demokrasia ya kweli inahitaji kiongozi mmoja mwenye ujasiri na uzalendo kutoka upande wa serikali.
 
Pole sana, itoshe kusema kuwa hukusoma andiko sawasawa, au umesoma na hakuna ulichoelewa.

"Kama hujashiba vya kwenye sahani ,huwezi kushiba kwa kukomba sefuria "

Jifunze kusoma na ku interpret ujumbe.

Uzi wangu nimetumia lugha rahisi kueleweka.

Ungekuwa mwanafunzi NINGEKUITA SLOW LEARNER, sitaki kutumia neno hilo sio zuri kwa mwanafunzi.

Badala yake nikuite STUDENT WHO IS FACING DIFFICULT IN LEARNING 😀🤣😀🤣😀

You need remedial class to plaster 🤣🤣😀😀
Mkuu 'Nandagala'
Nilipo kusoma mara ya kwanza tu nikajua ulikuwa umelenga hasa kitu gani katika mada yako hiyo. Kuwaonyesha wasomaji kwamba nawe upo huko uliko.
Mada yako haina mantiki kabisa kudhani kwamba mtu kama Pinda anaweza kufanya lolote la maana kuhusu muundo wa CCM na kuleta mabadiliko yoyote Tanzania. Kwanza huyo ni mnufaika mkubwa wa muundo huo, sasa wewe utamtegemea vipi asaidie kubadilisha muundo anao nufaika nao!

Na kama wewe upo karibu na hiyo fani ya ualimu katika ngazi yoyote ile, utakuwa ni mwalimu mbovu sana. Mada yako ni hafifu sana, na wala haiongezi thamani yoyote katika uchambuzi wa hali mbovu kisiasa tuliyo nayo hapa nyumbani.
 
Siasa za Botswana na siasa za Tanzania hazifanani

Muhimu ujue Ian Khama ndiye amemuondoa madarakani Eric Masisi.
Mwenyewe anadai anaishi viunga vya huko, lakini bado hajui kutafsiri anachoona kikitokea mitaa ya huko, si ajabu hiyo!
 
Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.

Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana.

Usiishie kukutana na Watanzania wa Botswana kunywa whisky na wine!
Ukirudi nyumbani waambie CCM kwenye vikao vya ndani,mwambie na mama Abdul kwa faragha.

Botswana ni Nchi mojawapo ambayo ambayo imepiga hatua kubwa kimaendeleo!!
Ikiwemo ajira, afya, miundo mbinu, ni nchi inayonufaika sana na madini, pia crime rate ni ndogo sana,kuyataja machache.

WakatinTz Bado tupo kwenye kampeni ya nyumba ni choo.Watu kutekwa na kuuwawa kwa watanzania.

Pamoja na hayo yote Waswana wameamua kukipiga chini chama tawala!!!

Ikiwa Waswana wameamua hivyo Tanzania ni nini??

CCM ni nani?? Hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwakani.

Mjulishe mama, wana CCM wenzako kuwa lolote laweza kutokea mwakani!!

Somo pia kwa vyombo vya ulinzi na usalama kubakia neutral kutoingilia uchaguzi kuisaidia CCM.

Watu wa usalama, majeshi yote wako secured na ajira hata kiingie
chama Gani kuhusu uwepo wao, hofu ipo kwa makada wa wanasiasa ambao kuondoka CCM Kwao ni pigo.

Shime vyombo vya ulinzi na usalama visimamie haki .

Narudia Mh Pinda Mfikishie salamu Mama Abdul na CCM.

Nandagala one!!
Mpumalanga South Africa.
Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.

Nakuomba Mfikishie salamu Mama Abdul kuhusu uliyaona kwa macho yako uliposimamia uchaguzi huo wa Botswana.

Usiishie kukutana na Watanzania wa Botswana kunywa whisky na wine!
Ukirudi nyumbani waambie CCM kwenye vikao vya ndani,mwambie na mama Abdul kwa faragha.

Botswana ni Nchi mojawapo ambayo ambayo imepiga hatua kubwa kimaendeleo!!
Ikiwemo ajira, afya, miundo mbinu, ni nchi inayonufaika sana na madini, pia crime rate ni ndogo sana,kuyataja machache.

WakatinTz Bado tupo kwenye kampeni ya nyumba ni choo.Watu kutekwa na kuuwawa kwa watanzania.

Pamoja na hayo yote Waswana wameamua kukipiga chini chama tawala!!!

Ikiwa Waswana wameamua hivyo Tanzania ni nini??

CCM ni nani?? Hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwakani.

Mjulishe mama, wana CCM wenzako kuwa lolote laweza kutokea mwakani!!

Somo pia kwa vyombo vya ulinzi na usalama kubakia neutral kutoingilia uchaguzi kuisaidia CCM.

Watu wa usalama, majeshi yote wako secured na ajira hata kiingie
chama Gani kuhusu uwepo wao, hofu ipo kwa makada wa wanasiasa ambao kuondoka CCM Kwao ni pigo.

Shime vyombo vya ulinzi na usalama visimamie haki .

Narudia Mh Pinda Mfikishie salamu Mama Abdul na CCM.

Nandagala one!!
Mpumalanga South Africa.
Je ujasiri utakuwepo au hofu ya ununio itaingia?Japo atakuwa anajitendea haki yake ya maoni au ushauri kwa manufaa ya wengi na kuukataa mfumo uliotuweka kwenye mkwao?
 
Ahaa kaka waziri mkuu Mstaafu mtu Mkubwa , hawezi kudhurika kwa ajili ya kutoa ushauri bwa ndani!!

By the way Pinda kakulia cordor za Ikulu ni MWANAMZENGO mwenzako, Once spy always spy!!
 
Nak
Mkuu 'Nandagala'
Nilipo kusoma mara ya kwanza tu nikajua ulikuwa umelenga hasa kitu gani katika mada yako hiyo. Kuwaonyesha wasomaji kwamba nawe upo huko uliko.
Mada yako haina mantiki kabisa kudhani kwamba mtu kama Pinda anaweza kufanya lolote la maana kuhusu muundo wa CCM na kuleta mabadiliko yoyote Tanzania. Kwanza huyo ni mnufaika mkubwa wa muundo huo, sasa wewe utamtegemea vipi asaidie kubadilisha muundo anao nufaika nao!

Na kama wewe upo karibu na hiyo fani ya ualimu katika ngazi yoyote ile, utakuwa ni mwalimu mbovu sana. Mada yako ni hafifu sana, na wala haiongezi thamani yoyote katika uchambuzi wa hali mbovu kisiasa tuliyo nayo hapa nyumbani.
Nakushkuru mkuu KALAMU ,hapo sasa nimekuelewa na tumeelewana shukrani sana kwa kuweka sawa 🙏🙏👍
 
Back
Top Bottom