Msimamizi Mkuu wa SADC Uchaguzi wa Botswana Mzee Pinda mfikishie salamu Rais Samia

Narudia keseama sisi wenyewe ndio tunaweza kuamua nini hatutaki au nini tuna taka, kwa watanzania kwakweli tusitegemee mageuzi yoyote kama hao Watsana tushau kabisa.
Uoga, ulio tujaa mioyoni mwetu tnabakia na kushangilia vya wenzetu tu.
 
Mkuu 'nandagala', sijui wewe ni nini kilicho kufanya ufikirie huo uchaguzi wa Botwana ndilo liwe somo kwa CCM? Kwani kuna mfanano upi kati ya muundo/mfumo wao na Tanzania katika maswala haya, kiasi uanze kufikiria kuwafananisha?

CCM na huyo huyo Pinda mwenyewe walisha hitimisha siku nyingi sana kwamba wao 'model' yao sahihi ni Zimbabwe!

CCM kamwe hawana chochote cha kujifunza toka Botswana, ili kiwatie hofu ya kupoteza kitu.

Huko Botwana kwenyewe nako ulisikia chama chao kilifanya maandalizi ya wazi kabisa, tena bila ya hofu wala soni ya kulazimisha ushindi kama CCM wanavyo fanya hapa?

Sasa unawaasa jambo gani hawa CCM?
 

Elewa pia watanzania siyo waswana.
 
Utoe CCM halafu uweke chama kipi?

Mbona hiyo itakuwa ni pure gambling game!
Wajinga wenzako pia walikuwa na mawazo hayohayo kwamba Nyerere akistaafu itakuwaje!
Ni mawazo mabaya ya kijinga kutoka kwa wajinga katika Ujinga mkuu uliotukuka na kuvuka viwango vikuu vya Ujinga duniani πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ni wazi sisi wenyewe tuna matatizo.
Mtu utaanzia wapi kuweka matumaini yako kwa mtu kama Mizengo Pinda kuleta mabadiliko yoyote?
Soma elewa, hakuna mtu aloweka tumaini kwa Pinda, afikishe salamu!
Jifunze kusoma na kuelewa!!!
 
Elewa pia watanzania siyo waswana.
SEMA wewe mawazo Yako, watu hujifunza kupitia mafanikio ya wenzao ili kufaulu, pia hijifunza kwa failures za wenzao ili wasirudie makosa.

Wewe bni kati ya watu ambao wapowapo tu,huna la kujifunza kutoka kwa wengine!! hasa waliofanikiwa, umejikatia tamaa,
Shame on you!!!πŸ˜€πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…