Msimamizi Mkuu wa SADC Uchaguzi wa Botswana Mzee Pinda mfikishie salamu Rais Samia

Waswana uwalinganishe na wabongo ???uelewa wao mkubwa sana,wabongo tuko bize na Simba na yanga plus uchawa..Upinzani nao hakuna team ya maan
 
Unaota mkuu ccm walisema hawawezi kamwe kukabidhi nchi kwa vipande vya karatasi
 
Waswana uwalinganishe na wabongo ???uelewa wao mkubwa sana,wabongo tuko bize na Simba na yanga plus uchawa..Upinzani nao hakuna team ya maan
Duuuu, wakati umeshafika
 
Duuuu, wakati umeshafika
Hahaha,ni sawa ufananishe uzalendo wa mwafrika kwa nchi yake (Yuko tayari kuhujumu nchi yake)na uzalendo wa mzungu kwa nchi yake(hawezi kuhujumu nchi yake),ni mbingu na ardhi
 
Unaijua jw au unahadithiwa tu baba ako mdg alikua mwanajeshi hilo haliwezekani kama nn fuatilia msemaji wa jeshi juz akizungumzq na eat African tv
 
Hahaha,ni sawa ufananishe uzalendo wa mwafrika kwa nchi yake (Yuko tayari kuhujumu nchi yake)na uzalendo wa mzungu kwa nchi yake(hawezi kuhujumu nchi yake),ni mbingu na ardhi
Bado upo mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…