Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Ingekuwa wewe, ungeelezaje?
Wale hawajui kujieleza.

Wafanye walichoambiwa wakatoe taarifa polisi, wapewe case number, kisha wajiandae kumtafuta, polisi into uwezo kuomba mawasiluano ya muhalifu kwahuyo mjumbe wa tume na ajatafutwa na akapatikana.

Kisha akahojiwa kuhusu barua, muhuri na sign ya katibu wa Chadema alivipata wapi ikiwa wao Chadema wanamkataa. Na wanaweza kuwasiliana na Mwenyekiti wa NEC taifa akatoa maelekezo kwa huyo mteule wake amtaje aliyechukua form na wamtambue chini ya ulinzi wa polisi, na atoe maelezo barua, muhuri na sign ya katibu wa jimbo alivipataje?! Ikiwa alivipata kihalali basi ni mchezo mchafu wa viongozi wa Chadema na ikiwa alighushi basi anachukuliwa hatua, kwanza anairudisha form aliyochukua na anapewa muhusika, yeye polisi wanaendelea naye kwa jaribio la kuhatarisha amani.

Wakishindwa nao Chadema wakachukue form za ccm hata majimbo kumi Wayne cvm kama hawatatoa form nyingine kwa wagombea wao halali?!

Dawa ya moto ni moto.
 
Delicate issue unaijua wewe; inaelekea mambo ya politics huyafahamu vizuri.
We mbumbu tuambie delicate ipo veep au unaropoka we unadhani utoaji wa form za kugombea siyo delicate issue.

Haya we unafahamu Mambo ya uchaguzi tuambie what happened at kibamba. Poyoyo kweli wewe, you need to go back into your Mamma's womb and re-born afresh ☹.
 
Hili suala huwa linaleta figisu zisizo na ulazima wala sababu zozote za msingi! Jambo linaloleta hisia kwamba ni mbinu mahususi kutaka mtu flani apite bila kupingwa! Najiuliza hivi kama tayari kuna mtu ameshajichomeka akachukuwa form na kuzilipia wakati sio mhusika, na baadaye akaja muhusika akahitaji form hizo na yupo tayari kuzilipia, si susla tu la kumpatia hizo form watakapozirudisha ndipo mbivu na mbichi zitajulikana??? Kwanini kuanza kupotezeana muda wakati mtoaji na mpokeaji wa form ni haohao????
 
Huu ni uchokozi wa makusudi kabisa. Yaani CHADEMA ndio waande kumtafuta na sio yeye aliyetapeliwa. Naona wanawachokonoa CHADEMA kwa nguvu.
 
Ccm wanna mbinu za kishamba Sana ,hebu wekeni picha ya huyo mkurugenzi na Jina tumsomee duwa au tumpe mng'oa kucha atusaidie.
 
Hii imefungua milango kwa “wahuni” wengine kuforge barua na kuibuka kwa Wakurugenzi kuchukua form especially maeneo mengi ambapo maDED ni makada watiifu wa CCM.

Huyu DED nae kiazi kweli. Yaani hata namba ya siku hakuchukua? Need to outline procedures sahihi za kuverify identity kabla ya kutoa form ili kuepuka haya
 
Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.

Ni aibu sana kwa CCM.Sifahamu wataishi kwa ulaghai huu hadi lini.
 
Maajabu ya dunia haya kwa mkurugenzi! Yani fomu atoe yeye wakamtafute wengine. Yeye alietoa atakuwa anamfaham aende akamtafue! Upumbavu mtupu
 
Hopeless ni wewe mwenyewe uliyeshindwa kujua kuwa yule mama anawahadaa chadema hajatoa form kokote labda kampa hawala yake cyprian Musiba akazani kawapa Chadema, Dr Slaa hakuwa na Akili angekuwa na akili asingekubali kununulia kiwepesi vile.
Bila shaka wewe ndo yule aliyekuwa amenyoa kiduku kama Lisu.
 
Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.

That is your opinion.
Hiyo clip haonyeshi huyo mgombea halali alipata veep fomu yake instead inaonesha mazungumzo ya mwanzo alivoenda kuchukua fomu akakuta imechukuliwa. Tunataka kujua huyo mgombea halali alipata veep fomu yake!?, Yule mgombea fake alikamatwa!?.
 
Wale hawajui kujieleza.

Wafanye walichoambiwa wakatoe taarifa polisi, wapewe case number, kisha wajiandae kumtafuta, polisi into uwezo kuomba mawasiluano ya muhalifu kwahuyo mjumbe wa tume na ajatafutwa na akapatikana.

Kisha akahojiwa kuhusu barua, muhuri na sign ya katibu wa Chadema alivipata wapi ikiwa wao Chadema wanamkataa. Na wanaweza kuwasiliana na Mwenyekiti wa NEC taifa akatoa maelekezo kwa huyo mteule wake amtaje aliyechukua form na wamtambue chini ya ulinzi wa polisi, na atoe maelezo barua, muhuri na sign ya katibu wa jimbo alivipataje?! Ikiwa alivipata kihalali basi ni mchezo mchafu wa viongozi wa Chadema na ikiwa alighushi basi anachukuliwa hatua, kwanza anairudisha form aliyochukua na anapewa muhusika, yeye polisi wanaendelea naye kwa jaribio la kuhatarisha amani.

Wakishindwa nao Chadema wakachukue form za ccm hata majimbo kumi Wayne cvm kama hawatatoa form nyingine kwa wagombea wao halali?!

Dawa ya moto ni moto.
Umelaumu kuwa hawa watu hawajui kujieleza, sasa wewe umeandika nini sasa?
NONSENSE!
 
Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.

Sheria na taratibu ziko wazi, sijui kwanini hawa jamaa wamekomaa kwenye kupewa form ya pili ikiwa wanatambua ya kuwa ni kinyume na sheria na taratibu za uchaguzi. Kwanini tunafanya mambo yasiyo na msingi wala ulazima wa kufanyika? na faida yake nini? au ndio ulimbukeni wa kuona tunaonewa kila mara?

Kama huyo mhusika alifika hapo na vielelezo vyote vinavyomtambulisha kama mgombea ikiwa ni pamoja na barua ya katibu wa chama iweje wasiende kushtaki polisi ili huyo jamaa akamatwe? Matokeo yake wanataka msimamizi ndio akashtaki polisi kama vile yeye ndiye mlalamikaji wakati walalamikaji wapo! Kwanini tutengeneze attention kwa hoja za kitoto kiasi hicho?
 
Wale hawajui kujieleza.

Wafanye walichoambiwa wakatoe taarifa polisi, wapewe case number, kisha wajiandae kumtafuta, polisi into uwezo kuomba mawasiluano ya muhalifu kwahuyo mjumbe wa tume na ajatafutwa na akapatikana.

Kisha akahojiwa kuhusu barua, muhuri na sign ya katibu wa Chadema alivipata wapi ikiwa wao Chadema wanamkataa. Na wanaweza kuwasiliana na Mwenyekiti wa NEC taifa akatoa maelekezo kwa huyo mteule wake amtaje aliyechukua form na wamtambue chini ya ulinzi wa polisi, na atoe maelezo barua, muhuri na sign ya katibu wa jimbo alivipataje?! Ikiwa alivipata kihalali basi ni mchezo mchafu wa viongozi wa Chadema na ikiwa alighushi basi anachukuliwa hatua, kwanza anairudisha form aliyochukua na anapewa muhusika, yeye polisi wanaendelea naye kwa jaribio la kuhatarisha amani.

Wakishindwa nao Chadema wakachukue form za ccm hata majimbo kumi Wayne cvm kama hawatatoa form nyingine kwa wagombea wao halali?!

Dawa ya moto ni moto.
Unaweza kuwa una haki ila ukaikosa/poteza haki yako kwa sababu ya kushindwa kuiomba/kuidai, hicho ndicho kinachoonekana kwa hawa jamaa. Kiasi kwamba napata mashaka labda wao ndio wametengeneza hili zengwe ili watengeneze story
 
Back
Top Bottom