field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Huyo mwanamke ni mjinga sana. Anajua kabisa ni uongo anakaza macho tu.