Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Wangekuwa wanasacos na uelewa Mdogo wasingekuwa wanabambikiwa kesi kupigwa risasi kuwahujumu kuwadhoofisha kwa kila hali wangeacha wajifie wenyewe, chadema wana uelewa mkubwa kuliko CCM ndiyo maana wamegundua mama shetani hakutoa form kokote bali kaamua kuwahadaa chadema kihuni tu
Vipi Kilombero?
 
Umeambiwa aliyechukua fomu ni mamluki wa ccm na kwavile nec ni tawi la ccm ndio maana akapewa, kwa taarifa yako huyo aliyechukua fomu hakugombea ngazi ya chama, inshort hafahamiki huko chadema ila anafahamika na tume tu
Hakuna form imetoka hapo hata hawala wa huyo mama shetani akiulizwa atakiri hivyo, hajatoa form katengeneza story ya uongo akijua chadema watakasirika wamdai form kwa nguvu apate kisingizio cha kuwabambikia kesi.
 
Umeambiwa aliyechukua fomu ni mamluki wa ccm na kwavile nec ni tawi la ccm ndio maana akapewa, kwa taarifa yako huyo aliyechukua fomu hakugombea ngazi ya chama, inshort hafahamiki huko chadema ila anafahamika na tume tu
Sasa kama unajua kwanini usitusaidie katika hili tukalimaliza mapema tu huh!
 
Unafikiri hana akili? Ana akili vizuri. Huyo Mkurugenzi anajua anachokifanya. Hataki CHADEMA waweke mgombea Kibamba ili apandishwe cheo kwa kuwashusha wenzie (CHADEMA). Kama ulivyoeleza vizuri, yeye aliyetapeliwa ndiye anatakiwa kwenda polisi. Kama anaona huyo mgombea wa CHADEMA hapo ofisini kwake anataka kumtapeli basi ampeleke polisi. Huyo mgombea wa CHADEMA akienda polisi atashindwa tu. Atafungua kesi gani kuhusu mtu asiyemjua? Huyo mama anastahili kupigwa risasi hapo hapo kwenye kiti chake ili apumzike kwa amani. Angalau mjinga mmoja atapungua duniani.
Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.

Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?

Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?

Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote, Mkurugenzi anatengeneza tension isiyo ya lazima.

Kwann form iwe mojamoja? Kwan zinashushwa toka Mbinguni?
 
Mama shetani kaamua kuwakomoa chadema kwa njia za kishamba pasipo kusoma nyakati pasipo kujua kuwa watanzania wana Akili nyingi kuliko watesi wa CCM
 
Hana barua hata form hakutoa kwa mtu bali kaamua kuwavuruga wapate hasira wamfanyie vurugu apate kisingizio cha kuwabambikia kesi
Mwenyekiti na Katibu wamezungukana, wao wasubiri kama huyo mgombea hatarudisha form. Mkurugrnzi anamwambia huyo mburura awasiliane na katibu wake yeye anangangania aonyeshwe barua, muda bado siakafungue kesi mahakamani
 
Hivi kwanini Rais Magufuli ametusababishia matatizo haya? Hajui kuwa hawa makada wanazidi kuchochea chuki mbaya miongoni mwetu?
Mkurugenzi huyu sio kwamba ni mjinga tu bali ni msaliti wa amani kwa maelezo yake kabisa utapata tabu kuamini kuwa hawa ni wakurugenzi wenye dhamana ya kusimamia uchaguzi wa haki.
Ngoja hizi chuki wazipandikize halafu madhara yake watagawana na wazazi wao.
 
Wapinzani ni vilaza sana, yani mother kawazidi hoja na akili... Yaani hata kama kuna ujanja chadema hawawezi kuukwepa hapo.

Yaani kama wanataka namba ya simu kwa msimamizi mbona hawakumuomba ya Boni

Wewe nae kila sentensi ina “yaaani” na unajiona mjanja kuliko Chadema.
 
Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.


Acha uongo na propaganda sizizo na mashiko. Usimsingizie Mkurugenzi, HAJAKATAA KUTOA FOMU. Alishatoa fomu moja au SETI MOJA YA FOMU kwa mgombea wa CHADEMA aliyetambulishwa na kwa barua na kiongozi wenu wa ngazi ya Mkoa. Huyo Mkurugenzi siyo mjinga kiasi hicho eti cha kuwanyima fomu CHADEMA, anajipenda au hajipendi? Anapenda kazi yake au haipendi? CHADEMA siku zote mnachezeana rafu wenyewe ndani kwa ndani. Kwa nini lakini hamna umoja hata kipindi hiki cha uchaguzi?
 
CHADEMA WATAZIDI KUUMIZWA SANA HIVI KWANN WASINGEENDA KUCHUKUA FOMU SIKU YA KWANZA SAA 1 NA NUSU ASUBUHI WAMEJICHELEWESHA WEEEE MPK BASI

HAPO CHA KUFANYA KATIBU WA CHAMA AWASILISHE MIHTASARI YA MCHAKATO MZIMA WA KUMTEUA YEYE NA APEWE FOMU SIKU YA UTEUZI YULE AMBAE HANA UTHIBITISHO ASITEULIWE MBONA TARATIBU ZINAJULIKANA HUYO NAE MGOMBEA ANAENDA KUONGEA MANENO TU NA KUNA TETESI KUNA WATU FOMU ZITANYANG'ANYWA NJIANI WAKIWA WANAENDA KUREJESHWA
Kwa nini iwe siku ya kwanza kwani wana winda! Au wana gombania? Je we umejuwaje kuwa kuna mtu ameichukuwa?
Umejuwaje siku ya kwanza asingesema hivyo?
 
Ni lazima huyo mama awajibike kwa kutoa form kwa mtu asiyestahili; she has to be accountable because of her lack of finesse. Mtu unapopewa form ni lazima uwe na kitambulisho hivyo msimamizi ni lazima anamfahamu aliyempa form. Hizi ni figisu za kijinga ambazo hazikisaidii chama tawala!!
 
Hiyo rejista ya mkurugenzi ina mapungufu sana, yaani haijitoshelezi kbs kupata taarifa za mtu aliechukua form, basi waonyeshe hyo barua yao, haitoi!
 
Hakuna form imetoka kwa huyo mama shetani bali katengeneza kisingizio feki kuwa alitoa form akiamini chadema wataidai form kwa nguvu apate kisingizio cha kuwabambikia kesi kama kawaida yao
Hahahaa na Chadema walikuwa smart walikuwa wanamuhoji maswali ya msingi mpaka mama akapaniki.
 
CCM wamegundua kuwa wananchi wanajua kwenye miradi yote mikubwa kuna ufisadi mkubwa ndiyo maana hawaikubali CCM kupitia hiyo miradi yote
Kabisa miradi yote ni kwa ajili ya kupiga cha JUU tu kwa incharge wa hiyo miradi na MECCO.
 
Back
Top Bottom