Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

SGR na Mindege lakini bado wanaona haitoshi mpaka wafanye figisu kwa wapinzani.
CCM wamegundua kuwa wananchi wanajua kwenye miradi yote mikubwa kuna ufisadi mkubwa ndiyo maana hawaikubali CCM kupitia hiyo miradi yote
 
Nadhani CHADEMA ndo wana matatizo katika uongozi wao hasa wa ngazi za chini. Kwa mfano, Meya wa Ubungo alivuliwa uanachama na katibu wa wilaya katika hali ya sintofahamu kama hii na suala lake mpaka leo halijawahi kushughulikiwa kisheria ili kubatilisha maamuzi yale. siyo ajabu akaja kuwekewa pingamizi huko mbeleni wakati wa uteuzi. Juzi anayejiita mgombea ubunge wa kilombero naye kavuliwa uanachama na katibu wa chama, baadae mwenyekiti wa kanda akaja kubatilisha yale maamuzi, mpaka sasa haijulikani aliyemvua uanachama na aliyebatilisha maamuzi yupi aliyetoa maamuzi ya halali. Sasa kwann hali hii ijitokeze kila mara? ina maana kuna ombwe la uongozi CHADEMA. Kwanni mamlaka zao zinachezewa hivi?

Ukiziangalia Barua za Chadema ukiacha zile za Makao Makuu hazina headed, mihuri inatofautiana kutoka tawi moja kwenda jingine kiasi cha kuweza kufojiwa na mtu yoyote. Kimsingi hatuwezi kumlaumu Mkurugenzi kwa hili, hata ningekua mimi nisingeweza kutoa fomu mbili za uteuzi kwa chama kimoja. Siyo sheria wala taratibu zinaruhusu jambo hilo. Wanaotakiwa kulinda mamlaka zao ni Chadema wenyewe kwa kuweka utaratibu unaoleweka ambao hauwezi kuruhusu mwanya kwa watu wenye nia ovu kufanya uhuni. Wakati mwingine unakuta ndani ya Chadema wamevurugana kwenye uteuzi, mtu anaamua kujiandikia barua anakwenda kuchukua fomu. Mkurugenzi hawezi kujua barua hii imetoka kwa mamlaka halali ama la, kwasababu hakuna kitu chochote kinachoweza kumthibitishaia hilo zaidi ya muhuri na saini.
Halafu wanasaccos wanasema hawa wahuni tuwape nchi watuongoze kama huko kwao kila mtu ni kambale sasa tukiwapa nchi kweli nchi itatawalika?? Urais watausikia na kuona kwenye TV na Radio!!
 
Mkienda kuchukua form nendeni na viberiti, wakileta alflelaulayla manawageuza bbq
 
Una akili sana ndugu. CHADEMA Wamebaki kulialia tu kwenye mitandao. Kama mtu mnafahamu familia yake ilipo huko kulialia kwa nini
CCM ndiyo mnalia lia mitandaoni kwa kutengeneza ujinga kisha mtake chadema wakae kimya? Wewe na huyo mama shetani mnafanya vitendo haramu kisha unataka chadema wakae kimya?
 
Hajawahi kutoa form hata moja iweje useme form mbili? au alikupa wewe hiyo form ?
Kwani hapa tunajadili nn? Mkurugenzi si amesema ameshatoa fomu kwa CHADEMA? Sasa anawezaje kutoa fomu tena.
 
Amini usiamini hapa huyo mama siyo mjinga kuna Jambo hapo na sidhani me sidhani hata Kama ni ukandamizaji wa upinzani but it can't be like this! Chadema watakuwa wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.
Mama ni mjinga sana hajatoa form kokote kaamua kuwakomoa chadema kwa lengo la kujipendekeza kwa mtukufu apate uteuzi kwenye vile viti 10 vya mtukufu Rais
 
Lakini upande mwingine hao chadema wanajichimbia kaburi haiwezekani mtu ambaye hakuchaguliwa na chama aende akachukue form implications hapa ni uchu wa madaraka, kutokuridhika lakini pia ndani ya chama inaonekana kabisa hakuna maamuzi sahihi yaliyofanyika wakati wa kuchagua wapeperusha bendera katika Jimbo la kibamba. Mbona hii kitu haitokei upande wa CCM, chadema itabidi wajiangalie Sana. October is around the corner ohooo!.
Mkuu kweli uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?
 
mie namshangaa Ngosha, kama hawezi siasa za ushindani anashindwa nn kufuta mfumo wa vyama vingi nchini? Mamlaka yote anayo sasa anakwama wapi??.
Chaguzi zote ambazo Ngosha Magu alishindana na wengine aliishia kuangukia pua, baada ya kuwa mbunge 1995 , chaguzi zioizofuata alihakikisha kila ukifika wakati wa uchaguzi anabaki peke yake.

Alikuwa anafanya nini ili abaki peke yake ilo analijua yeye.
 
Kwani hapa tunajadili nn? Mkurugenzi si amesema ameshatoa fomu kwa CHADEMA? Sasa anawezaje kutoa fomu tena.
Form hakutoa katengeneza story ya uongo kuwa alitoa form kwa mtu Asiyejulikana ni aina fulani ya kisingizio cha kishamba sana, Tatizo la wanaccm ni kukariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hadi kujitoa fahamu zote
 
Kila chama kina mgombea mmoja tu hivyo hawawezi kupewa fomu zaidi ya mmoja! Kama Katibu wa Chadema alimtambulisha huyo mgombea basi imekula kwenu wanasaccos. Pia hiyo imetokea huko jimbo la Kilombero mpaka imebidi Saccos ya Chadema wamfukuze Katibu wao huko Kilombero. Sheria iko wazi kila Chama mgombea mmoja hivyo NEC itatoa Fomu moja tu kwa kila Mgombea wameambiwa wairudishe hiyo fomu ili wapewe nyingine.
nimekupata chief Ila naomba uniombe radhi kwa kuniona Mimi Ni mmoja Kati ya Wana Sacco's.

nooo.[emoji119][emoji119][emoji119].

siwezi kuwa mpanua vidole na matako ili kuwadekia barabara hao wajinga badala ya kupanua akiri.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Lakini upande mwingine hao chadema wanajichimbia kaburi haiwezekani mtu ambaye hakuchaguliwa na chama aende akachukue form implications hapa ni uchu wa madaraka, kutokuridhika lakini pia ndani ya chama inaonekana kabisa hakuna maamuzi sahihi yaliyofanyika wakati wa kuchagua wapeperusha bendera katika Jimbo la kibamba. Mbona hii kitu haitokei upande wa CCM, chadema itabidi wajiangalie Sana. October is around the corner ohooo!.
Umeambiwa aliyechukua fomu ni mamluki wa ccm na kwavile nec ni tawi la ccm ndio maana akapewa, kwa taarifa yako huyo aliyechukua fomu hakugombea ngazi ya chama, inshort hafahamiki huko chadema ila anafahamika na tume tu
 
Wapinzani ni vilaza sana, yani mother kawazidi hoja na akili... Yaani hata kama kuna ujanja chadema hawawezi kuukwepa hapo.

Yaani kama wanataka namba ya simu kwa msimamizi mbona hawakumuomba ya Boni
Kwa jinsi unavyoshadadia , inaoneonekana wazi hata wewe akili zako sio timamu.
 
Wanasaccos nyinyi uelewa wenu ni mdogo sana wa kila kitu! Ndiyo maana Faru John anawazungusha atakavyo.
Wangekuwa wanasacos na uelewa Mdogo wasingekuwa wanabambikiwa kesi kupigwa risasi kuwahujumu kuwadhoofisha kwa kila hali wangeacha wajifie wenyewe, chadema wana uelewa mkubwa kuliko CCM ndiyo maana wamegundua mama shetani hakutoa form kokote bali kaamua kuwahadaa chadema kihuni tu
 
Mama ni mjinga sana hajatoa form kokote kaamua kuwakomoa chadema kwa lengo la kujipendekeza kwa mtukufu apate uteuzi kwenye vile viti 10 vya mtukufu Rais
Ohh! that's not a point mkuu! kuna sehemu nyingine ya kujipendekeza lakini siyo kwenye delicate issue Kama hii bhana!

And yet you and I we have got no proof if that mama is guilty or not.
 
nimekupata chief Ila naomba uniombe radhi kwa kuniona Mimi Ni mmoja Kati ya Wana Sacco's.

nooo.[emoji119][emoji119][emoji119].

siwezi kuwa mpanua vidole na matako ili kuwadekia barabara hao wajinga badala ya kupanua akiri.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha.. Pole Boss na Samahani sana!!
 
Back
Top Bottom