Nyakati hizi ukiingia tu ofisi za serikali kama TRA, unaandika utambulisho wako mpaka namba za simu. Hivi form kubwa ya kutafuta nafasi kwenda kutunga Sheria za nchi inakosa option ya kumtambulisha mtu anakokaa, anafanya shughuli gani, namba zake za simu? Viambatanishi vya vitambulisho vyake kama driving license, kitambulisho cha mpiga kura ama namba ya NIDA, ili wao tume pia wajiridhishe kuwa huyu ni raia wa Tanzania maana jinai mgombea asipokua Raia.
Hii ni aibu kubwa sana, sana tena sana. Yapaswa kujitazama tena na tena.