Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.

Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?

Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?

Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote hapo.
Hapo ukisema Chadema wasubiri mpaka arudishe form watakuwa wanajidanganya kamwe hatorudisha na hapo ndio lengo la Msimamizi na Mgembea wa CCM litakuwa limefanikiwa,Yaani msimamizi wa uchaguzi yeye akipelekewa barua tu anakubali pasipo hata kujiridhisha kama aliyekuja ni mtu sahihi au lah.

Hizi issue aambiwe Tundu lissu tu ndio dawa yake atatoa ufafanuzi kitu gani kifanyike.
 
Video imesambaa lazima sana Lazima ataiona tu
 
Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.

Yale yale ya uchaguzi wa serekali za mitaa....
 
Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.

Huu ni uzembe wa hali ya juu wa tume ya uchaguzi unaopelekea unyanyasai wa kisiasa.

Inakuwaje wewe unadai umetoa form kwa mtu asiyejulikana halafu unadai watu ambao hawakumwona wala kushuhudia tukio hilo wakamtafute badala ya wewe uliyefanya naye hiyo transaction?

Na kwa nini anakataa kuwapa hata barua ya utambulisho aliiyotumia kumtambua huyo mgushi?

Ina maana sheria imeegemea upande mmoja tu kwamba makosa yote yanayotokea katika mchakato ni ya mlalamikaji na kwamba wafanyakazi wa tume ni malaika ambao hawawezi kufanya makosa?

Kutoa form ya pili kwa malalamiko kama haya kunagharama gani na kwa nani?

Hapa kuna tatizo.

Hawa watendaji wawe na uwezo wa kutumia akili na utashi wa uaminifu kwa Watanzania.

Ninaomba mamlaka iingilie hili ili CHADEMA wapewe form. Iiwekwe sharti kwamba form zirejeshwe kwa wakati mmoja ili suala limalizike na atakyebainika kughushi ashitakiwe kwa forgery na waliomsaidia washitakiwe kwa conspiracy.

Kwanza inakuwaje tume na kutumia fedha zetu zote zile wanatengeneza forms ambazo hazina hata simu za mawasiliano?

Hivi ni nini hiki?

Hakuna utukufu katika kumtumikia shetani. Maisha haya yanaishia hapa na baada ya kifo ni hukumu.

CCM jiangalieni.
 
Huu ni uzembe wa hali ya juu wa tume ya uchaguzi unaopelekea unyanyasai wa kisiasa.
Inakuwaje wewe unadai umetoa form kwa mtu asiyejulikana halafu unadai watu ambao hawakumwona wala kushuhudia tukio hilo wakamtafute? Siyo kwamba wewe uliyetoa form kwa mtu asiyefahamika ndiye umtafute?
Na kwa nini anakataa kuwapa hata barua ya utambulisho aliiyotumia kumtambua huyo mgushi?
Ina maana sheria imeegemea upande mmoja tu kwamba makosa yote yanayotokea katika mchakato yawe ya chama kinacholalamika na kwamba ofisi ya tume inasimamiwa na malaika ambao hawawezi kufanya makosa?

Kutoa form ya pili kwa malalamiko kama haya yeye kunamgharimu nini?

Hapa kuna tatizo.

Hawa watendaji wawe na uwezo wa kutumia akili na utashi wa uaminifu kwa Watanzania.

Ninaomba mamlaka iingilie hili suala ili wapewe form na siku ya kurejesha form sharti liwekwe kwamba zote zirejeshwe kwa wakati mmoja ili suala limalizike.

Hakuna utukufu katika kumtumikia shetani. Maisha haya yanaishia hapa na baada ya kifo ni hukumu.

CCM jiangalieni.
Fomu imetolewa kabla ya majina ya wagombea wa Chadema kutangazwa na halmashauri kuu.

Fomu hawajakabidhiwa mkononi iweje kosa liwe la makamanda wa Chadema.
 
Fomu imetolewa kabla ya majina ya wagombea wa Chadema kutangazwa na halmashauri kuu.

Fomu hawajakabidhiwa mkononi iweje kosa liwe la makamanda wa Chadema.

Huu ni upuuzi na ujinga mkubwa ambao hauwezi kukubalika katika utendaji kazi wa ofisi yoyote ya umma. Na hii ndiyo rangi ya ofisi za Serikali zilizonyingi pasipo Magufuli.
 
Back
Top Bottom