Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Hapo ukisema Chadema wasubiri mpaka arudishe form watakuwa wanajidanganya kamwe hatorudisha na hapo ndio lengo la Msimamizi na Mgembea wa CCM litakuwa limefanikiwa,Yaani msimamizi wa uchaguzi yeye akipelekewa barua tu anakubali pasipo hata kujiridhisha kama aliyekuja ni mtu sahihi au lah.

Hizi issue aambiwe Tundu lissu tu ndio dawa yake atatoa ufafanuzi kitu gani kifanyike.
Chadema hamjielewi, huyo tundu Lissu aliwaambia msindikizeni mgombea kuchukua fomu mbona hamkumsindikiza?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo ana hoja gani? Ya kutapeliwa yeye na kuwataka Chadema wamtafute tapeli?
Wapinzani ni vilaza sana, yani mother kawazidi hoja na akili... Yaani hata kama kuna ujanja chadema hawawezi kuukwepa hapo.

Yaani kama wanataka namba ya simu kwa msimamizi mbona hawakumuomba ya Boni
 
Hapana boss, mkurugenzi ni 3rd party, kuna tume kabisa ndio yenye maamuzi ya mwisho.
Mkuu kwa mujibu wa sheria za uchaguzi ni kwamba Autamatically DED anakuwa mfanyakazi wa NEC(Msimamizi wa Uchaguzi) kwahiyo hapo anawakilisha NEC ndio maana anatoa fomu na anatoa maelekezo ya process zote za mgombea kufanya kwa mujibu wa sheria/taratibu/kanununi za NEC.
 
Hiyo barua ya cdm mbona hataki ionekane hawa viongozi ifike mahala wawajibishwe na wananchi wenyewe.
Na vitendo hivi vinafanywa kwa chadema pekee yao hii siyo kweli.
 
Wananchi huyo wa kuanza nae tu, ujinga kama huu usijirudie
 
Mnyika kujitoa kugombea ubunge nilianza kuhisi harufu ya hujuma, kuna kitu anakijua.
 
Ila Chadema watoto kwenye Siasa. Anayejua chuo cha Figisu cha CCM anitajie, jamaa wanajua.

Chadema wanaishia kusema sawa 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Mbona figisu za kitoto sana hizo, unachoshindwa kuelewa hao NEC ni ccm
 
Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.


Wewe DED kumbuka maneno haya ya Uzima: HAKI huinua Taifa Bali DHAMBI ni Aibu Kwa Watu watu Wote. Mpe mtu HAKI yake. Be nice to People on your Way Up. You Might Meet them Climbing on your Way Down. Miaka 60 Ofisi itakutema.
 
Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.

Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?

Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?

Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote, Mkurugenzi anatengeneza tension isiyo ya lazima.

Kwann form iwe mojamoja? Kwan zinashushwa toka Mbinguni?
Huyu mwanasheria ni hovyo, tena atalaaniwankwa kutoa ushauri wa kipumbavu, ni mdogo wangu lakini kwa hili bora undugu ufe.
 
Chadema akili hamna kabisa, yaani kwenye ilo kundi kuna mijitu ilienda mara ya kwanza na mgombea aliyechukua fom sasa hivi yameenda na mgombea mwengine tena. Na maza anawachana hapo hapo bila kuwaonea haya.
 
Huyo mgombea wa chadema mbona hajui hata kujieleza? Hizo kampeni atafanyaje?
Ulitakiwa uji ulize pia udiwani wa kibamba alishinda vipi hakuna mtu asie mkubali Mgawe siku Fanya utafiti njoo kibamba ulizia sifa zake ndo utamuelewa Mgawe ni mtu peace sana na asilimia kubwa ya wana kibamba wana muelewa sana
 
Huyu mkurugenzi ni mpuuzi si ajabu akawa na elimu ya masters, sasa kwa akili tu ya kawaida hapo ni nani ambaye ametapeliwa? Yeye ndio katapeliwa sio chadema. Yeye ndo anatakiwa akatoe taarifa polisi. Chadema mkikubali uhuni huu utakuwa ni udhaifu mkubwa.
 
Fomu imetolewa kabla ya majina ya wagombea wa Chadema kutangazwa na halmashauri kuu.

Fomu hawajakabidhiwa mkononi iweje kosa liwe la makamanda wa Chadema.
Kosa ni la CCM hawajatoa form yeyote Lakini mama kajitoa fahamu zote, wamekaa wametengeneza kisingizio cha kibwege wakizani watanzania ni wajinga
 
Hapa kwenye hili Paskal mayala kakaa kimya kaona pa kupenyea asake Uteuzi hakuna kwani cyprian Musiba na huyo mama mchawi nao wanasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom