Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Ingekuwa wewe, ungeelezaje?Mbona walioenda kuchukua form nao hawajui kujieleza?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa wewe, ungeelezaje?Mbona walioenda kuchukua form nao hawajui kujieleza?!
Unamrukia kichwa kikali hata ikifungwa unakuwa umewasaidia wengine wengi iwe fundisho kwa wakurugenziccm wenye Tabia za kishetani kama za huyo mamaIngekuwa wewe, ungeelezaje?
Analinda mshahara, gari na mafuta ya bure.Kosa ni la CCM hawajatoa form yeyote Lakini mama kajitoa fahamu zote kisa ni hawala wa cyprian Musiba wamekaa wametengeneza kisingizio cha kibwege wakizani watanzania ni wajinga kama wao.
Ngoja nikamtongoze nimuharibie maisha yake hataamini.Huyo mama mkurugenzi wa hapo kibamba ni mshamba mno na pia ana roho mbaya sana lazima atakuwa anamiliki sumu nyingi
Ha ha ha anza na mke wa cyprian Musiba kwani ndiyo anamchochea huyo mamaNgoja nikamtongoze nimuharibie maisha yake hataamini.
Jamaa hata kuangalia kuku akichinjwa anaogopaNa nani, si wewe ungeenda kuonesha mfano
Waende kwa boss wake huyu mamaNEC ndio huyo DED(Mwanachama wa CCM) kashatoa ufafanuzi kwamba fomu hawatoi tena.
Viongozi wa Chadema jimbo hilo kwanini hawatolei ufafanuzi maana jimbo linakwenda hilo.Hizi ni hujuma na ndio maana hata hiyo barua anashindwa kuonyesha.
mccm wanahofia sana kushindwa kwenye uchaguzi na ndio maana wanatafuta vichaka vya kujificha, huyu mama alitakiwa kupigwa makofi ili akili imkae sawa, maana anaweza kuwa hata hajatumwa lakini kiherehere chake ndio kinamsumbuaExactly, labda kama walipewa fomu moja moja kwa kila chma. Lakini yeye ndiye anayetakiwa kuwajibishwa kwa kutoa fomu kwa mtu ambaye hakupitishwa na CHAMA kilichosajiriwa kisheria.
SGR na Mindege lakini bado wanaona haitoshi mpaka wafanye figisu kwa wapinzani.Lakini Magufuli mbona ajiamini hata kidogo.
Kama Mwanasheria huyu ndio tegemeo la Mkurugenzi kwenye Mambo ya kisheria Basi Hilo ni Tatizo Tayari. Yupo Shallow kuliko ambaye hajakaa kabisa kwenye darasa la Sheria. Kasoma Chuo Gani Ili tusipeleke huko watoto wetu mana wataishia kupoteza muda.Huyu mwanasheria ni hovyo, tena atalaaniwankwa kutoa ushauri wa kipumbavu, ni mdogo wangu lakini kwa hili bora undugu ufe.
Kabisa maana huyo muhuni kaifanyia utapeli NEC na sio CDM ,ofisi ya DED ilitakiwa ijiridhishe kwa mtu wanayempa form kama ni mtu sahihi aliyeteuliwa na chama husika,Ukitaka kujua ofisi ya DED wamefanya uhuni ajitokeze mtu yeyote aseme ameteuliwa na CCM kugombea ubunge tuone kama watafanya UTOPOLO wa kumpa kiholela kama walivyofanya kwa CDM.Hapo CDM hawatakiwi kwenda polisi wanatakiwe kwenda NEC maana huyo ni muajiriwa wa NEC hawawezi kwenda polisi kutafuta mtu ambaye hajafanya kosa lolote kwa CDM yeye amenya kosa la jinai na amemfanyia Mkurugenzi ni juu ya Mkurugenzi kumtafutia mtu aliyemtapeli. Ni Mkurugenzi ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha fomu ya ugombea anamptia mtu aliyeteuliwa na chama cha siasa siyo jukumu la CDM. Mimi sioni shida yoyote hapo kwa CDM wao wanatakiwa kwenda NEC ili ielekeze Mkurugenzi awape fomu kama utaratibu wa sheria ya uchaguzi unavotaka
Lakini upande mwingine hao chadema wanajichimbia kaburi haiwezekani mtu ambaye hakuchaguliwa na chama aende akachukue form implications hapa ni uchu wa madaraka, kutokuridhika lakini pia ndani ya chama inaonekana kabisa hakuna maamuzi sahihi yaliyofanyika wakati wa kuchagua wapeperusha bendera katika Jimbo la kibamba. Mbona hii kitu haitokei upande wa CCM, chadema itabidi wajiangalie Sana. October is around the corner ohooo!.