Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uteuzi toka kwa mtukufu umewafanya wanaccm wengi kumtumikia shetani wapate kumfurahisha mteuzi awazawadie Rushwa ya Uteuzi, tunahitaji katiba mpya izuie Uteuzi pindi bunge likishavunjwa kuepuka wanaccm kufanya vioja kwa wapinzani ili wapate kuteuliwa ikiwa ni Rushwa baada ya kuwakomoa wapinzani.
 
Kosa ni la CCM hawajatoa form yeyote Lakini mama kajitoa fahamu zote kisa ni hawala wa cyprian Musiba wamekaa wametengeneza kisingizio cha kibwege wakizani watanzania ni wajinga kama wao.
Analinda mshahara, gari na mafuta ya bure.
 
Rushwa ya Uteuzi imewatoa fahamu zote wanaccm
 
Huyo mama mkurugenzi wa hapo kibamba ni mshamba mno na pia ana roho mbaya sana lazima atakuwa anamiliki sumu nyingi
Ngoja nikamtongoze nimuharibie maisha yake hataamini.
 
Ndio maana sipendaji kukutana na watu wajingawajjnga km huyu mama, maana sasa hivi tungeongea mengine, hili jambo lingemalizika siku hiyo hiyo
 
Exactly, labda kama walipewa fomu moja moja kwa kila chma. Lakini yeye ndiye anayetakiwa kuwajibishwa kwa kutoa fomu kwa mtu ambaye hakupitishwa na CHAMA kilichosajiriwa kisheria.
mccm wanahofia sana kushindwa kwenye uchaguzi na ndio maana wanatafuta vichaka vya kujificha, huyu mama alitakiwa kupigwa makofi ili akili imkae sawa, maana anaweza kuwa hata hajatumwa lakini kiherehere chake ndio kinamsumbua
 
Hapo CDM hawatakiwi kwenda polisi wanatakiwe kwenda NEC maana huyo ni muajiriwa wa NEC hawawezi kwenda polisi kutafuta mtu ambaye hajafanya kosa lolote kwa CDM yeye amenya kosa la jinai na amemfanyia Mkurugenzi ni juu ya Mkurugenzi kumtafutia mtu aliyemtapeli. Ni Mkurugenzi ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha fomu ya ugombea anamptia mtu aliyeteuliwa na chama cha siasa siyo jukumu la CDM. Mimi sioni shida yoyote hapo kwa CDM wao wanatakiwa kwenda NEC ili ielekeze Mkurugenzi awape fomu kama utaratibu wa sheria ya uchaguzi unavotaka
 
Wakamsake aliyechukua fomu wakati wewe ndie unajua ulimpa nani?
Kwani taratibu za kutoa fomu unatoa kama unauza njugu?
majibu ya kipuuzi na ujinga kabisa haya! dawa yake kumwendea home kwake mbele ya familia yake atasema tu.
 
Huyu mwanasheria ni hovyo, tena atalaaniwankwa kutoa ushauri wa kipumbavu, ni mdogo wangu lakini kwa hili bora undugu ufe.
Kama Mwanasheria huyu ndio tegemeo la Mkurugenzi kwenye Mambo ya kisheria Basi Hilo ni Tatizo Tayari. Yupo Shallow kuliko ambaye hajakaa kabisa kwenye darasa la Sheria. Kasoma Chuo Gani Ili tusipeleke huko watoto wetu mana wataishia kupoteza muda.
 
Hapo CDM hawatakiwi kwenda polisi wanatakiwe kwenda NEC maana huyo ni muajiriwa wa NEC hawawezi kwenda polisi kutafuta mtu ambaye hajafanya kosa lolote kwa CDM yeye amenya kosa la jinai na amemfanyia Mkurugenzi ni juu ya Mkurugenzi kumtafutia mtu aliyemtapeli. Ni Mkurugenzi ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha fomu ya ugombea anamptia mtu aliyeteuliwa na chama cha siasa siyo jukumu la CDM. Mimi sioni shida yoyote hapo kwa CDM wao wanatakiwa kwenda NEC ili ielekeze Mkurugenzi awape fomu kama utaratibu wa sheria ya uchaguzi unavotaka
Kabisa maana huyo muhuni kaifanyia utapeli NEC na sio CDM ,ofisi ya DED ilitakiwa ijiridhishe kwa mtu wanayempa form kama ni mtu sahihi aliyeteuliwa na chama husika,Ukitaka kujua ofisi ya DED wamefanya uhuni ajitokeze mtu yeyote aseme ameteuliwa na CCM kugombea ubunge tuone kama watafanya UTOPOLO wa kumpa kiholela kama walivyofanya kwa CDM.
 
Lakini upande mwingine hao chadema wanajichimbia kaburi haiwezekani mtu ambaye hakuchaguliwa na chama aende akachukue form implications hapa ni uchu wa madaraka, kutokuridhika lakini pia ndani ya chama inaonekana kabisa hakuna maamuzi sahihi yaliyofanyika wakati wa kuchagua wapeperusha bendera katika Jimbo la kibamba. Mbona hii kitu haitokei upande wa CCM, chadema itabidi wajiangalie Sana. October is around the corner ohooo!.

Unajuwaje kama ametoka CHADEMA na viongozi wote wanasema tarehe hiyo majina ya wagombea yalikuwa hayajaidhinishwa na nikweli kwenye orodha ya awali hakukuwa na mgombea wa Kibamba. Kwani wewe umeona huyo Mkurugenzi amaonesha barua yoyote hapo. Kwanza ukiangalia kwa makini hapo hakuna fomu iliyotolewa ili ameamuwa kuandika tu kwenye hiyo dispatch yake jina la kubuni tu hakuna mtu amechukuwa fomu hapo. Hata kama ingekuwa imechukuliwa ni jukumu la Mkurugenzi kuitafuta hiyo fomu maana yeye ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha fomu anapewa mtu sahihi. Na kama mtu aliyepewa siyo sahihi anasemaje kuwa kutakuwa migongano kwenye kampeni Kwani kuchukuwa fomu ndiyo kuteuliwa mbona hana akili kabisa. Yeye ndiye anayefanya uteuzi sasa atateuwaje mtu ambaye ameshambiwa hakupitishwa na chama.
 
Back
Top Bottom