Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Chadema hamjielewi, huyo tundu Lissu aliwaambia msindikizeni mgombea kuchukua fomu mbona hamkumsindikiza?Hapo ukisema Chadema wasubiri mpaka arudishe form watakuwa wanajidanganya kamwe hatorudisha na hapo ndio lengo la Msimamizi na Mgembea wa CCM litakuwa limefanikiwa,Yaani msimamizi wa uchaguzi yeye akipelekewa barua tu anakubali pasipo hata kujiridhisha kama aliyekuja ni mtu sahihi au lah.
Hizi issue aambiwe Tundu lissu tu ndio dawa yake atatoa ufafanuzi kitu gani kifanyike.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app