Hana barua hata form hakutoa kwa mtu bali kaamua kuwavuruga wapate hasira wamfanyie vurugu apate kisingizio cha kuwabambikia kesiHizi ni hujuma na ndio maana hata hiyo barua anashindwa kuonyesha.
Buku 7Wapinzani ni vilaza sana, yani mother kawazidi hoja na akili... Yaani hata kama kuna ujanja chadema hawawezi kuukwepa hapo.
Yaani kama wanataka namba ya simu kwa msimamizi mbona hawakumuomba ya Boni
Utumikaji wake ni wa kishamba sana, wametumia mbinu za kibwege mnoSio kama hana weledi,bali anatumika.
Mbinu za kijima zimeanza kutumika?!? Hana familia huyo kiongozi!?
Huyo mama mkurugenziccm alishajiandaa kufanya ubabe wa kijinga mda mrefu hata angeombwa namba ya nani asingetoa, tayari anafanya kazi kwa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM siyo kwa mihimu wa Sheria na katiba ya Nchi.Wapinzani ni vilaza sana, yani mother kawazidi hoja na akili... Yaani hata kama kuna ujanja chadema hawawezi kuukwepa hapo.
Yaani kama wanataka namba ya simu kwa msimamizi mbona hawakumuomba ya Boni
Dawa yake ni kumsomea Albadiri kubwa iwe fundisho kwa wakurugenziccm woteHuyu mama anatafuta bloodshed ndani ya familia yake ! hajui anachezea kaa la moto
Hujamsoma usoni hana hojaHuyu mama mbona simwelewi. Sio mwanasheria Lakini kwa swala la muda angetoa Form and then huyo muhini akirudisha akamatwe.
Mkurugenziccm anajiona yeye ni mungu hawezi kupata matatizo yeyoteAkipata matatizo yeye binafsi,amlaumu sijui nani...?
Dawa yake ni kumsomea Albadiri kubwa iwe fundisho kwa wakurugenziccm wote
Hapa unajaribu kusema msimamizi wa uchaguzi ni CCM na CCM imemtuma kufanya hizo hila?Ila Chadema watoto kwenye Siasa. Anayejua chuo cha Figisu cha CCM anitajie, jamaa wanajua.
Chadema wanaishia kusema sawa 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Nyakati hizi ukiingia tu ofisi za serikali kama TRA, unaandika utambulisho wako mpaka namba za simu. Hivi form kubwa ya kutafuta nafasi kwenda kutunga Sheria za nchi inakosa option ya kumtambulisha mtu anakokaa, anafanya shughuli gani, namba zake za simu? Viambatanishi vya vitambulisho vyake kama driving license, kitambulisho cha mpiga kura ama namba ya NIDA, ili wao tume pia wajiridhishe kuwa huyu ni raia wa Tanzania maana jinai mgombea asipokua Raia.Mkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Watanzania wamegeuzwa watumwa Nchini mwao wenyewe , mda wa kudai uhuru kama ule wa 1961 umewadiaNyakati hizi ukiingia tu ofisi za serikali kama TRA, unaandika utambulisho wako mpaka namba za simu. Hivi form kubwa ya kutafuta nafasi kwenda kutunga Sheria za nchi inakosa option ya kumtambulisha mtu anakokaa, anafanya shughuli gani, namba zake za simu? Viambatanishi vya vitambulisho vyake kama driving license, kitambulisho cha mpiga kura ama namba ya NIDA, ili wao tume pia wajiridhishe kuwa huyu ni raia wa Tanzania maana jinai mgombea asipokua Raia.
Hii ni aibu kubwa sana, sana tena sana. Yapaswa kujitazama tena na tena.
Huyo muuweni hapohapo. Huo ni ujinga kulea watu kama hao. Uwa wengine wataheshimuMkurugenzi anayehusika na uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Lakini upande mwingine hao chadema wanajichimbia kaburi haiwezekani mtu ambaye hakuchaguliwa na chama aende akachukue form implications hapa ni uchu wa madaraka, kutokuridhika lakini pia ndani ya chama inaonekana kabisa hakuna maamuzi sahihi yaliyofanyika wakati wa kuchagua wapeperusha bendera katika Jimbo la kibamba. Mbona hii kitu haitokei upande wa CCM, chadema itabidi wajiangalie Sana. October is around the corner ohooo!.Exactly, labda kama walipewa fomu moja moja kwa kila chma. Lakini yeye ndiye anayetakiwa kuwajibishwa kwa kutoa fomu kwa mtu ambaye hakupitishwa na CHAMA kilichosajiriwa kisheria.
huyu hapaMbinu za kijima zimeanza kutumika?!? Hana familia huyo kiongozi!?