Msimamo: Napinga Mkapa kupongezwa kwa kuandika kitabu kinachoeleza makandokando yake

Mimi sitalishangaa bandiko hili maana baadhi ya Watanzania wenzetu wao kazi ni pinga pinga tuu kila kitu, kiwe kizuri, kiwe kibaya wao watapinga tuu.

Watu wa aina hii, niliwazungumza hapa

P
Unamaanisha nini kwamba mabandiko yako ni superior kuliko ya wengine au?
Yeye ametoa maoni yake hayo mambo ya kupinga kila kitu kwa baadhi ya watu unayoongea hapa unakosea.Mabandiko yako marefu huwa yana pumba nyingi tu ndani yake lakin pia ina unga bora sasa wewe unavyodharau wenzako sio powa.
 
Mkuu hujaelewa lengo la Mh Mkapa kuandika kile kitabu. Mara nyingi katika maisha kuna kufanya maamuzi ukifikiri upo sahihi, ila baadae unagundua maamuzi yako hayakuwa sahihi na hauwezi kusahihi tena.

Lengo la kitabu kile ni kuonyesha maamuzi yake na wapi alipokosea ili wengine wasishupaze shingo na kupita humo humo. Kila mtu huwa anakosea katika kujaribu kufanya jambo fulani lifanikiwe. So kama nilifanya kosa katika jambo fulani si vibaya kumweleza na mwingine ndugu mh ukifuata njia hii niliyotumia mimi ni makosa, njia sahihi ni hii hapa,,

Makosa yapo ili wengine wajifunze wasipite humo humo. Nampongeza kwa kuandika kitabu hiki.

Na wengine waandike pia.

Nitakayemlaumu ni ambaye atasoma then afanye makosa yale yale.
 
Labda kunahitajika upembuzi yakinifu kujua hasara na faida ya hicho kitabu ktk nchi!!.. Hii inatoa alert kwa wenye akili,Upungufu wa katiba yetu ktk kuwabana viongozi pia inaonyesha udhaifu wa idara nyeti kwa kumuacha kiongozi kufanya madudu! Tujitafakari..
Eewaa nadhani hiyo ndio theme ya hicho kitabu sema tu wale wanaojifanya kuwa na akili kubwa wameshimdwa kuing'amua
 
Utapata kisukari kijana,si kila jambo unalopinga unafungua thread
Wewe anakujua nani mpaka malalamiko yalete impact?
Kitabu kimeisha baada ya siku mbili tu
Nakushauri tunga kitabu chako kumbamiza mkapa,badala ya kulia lia kama mtoto
JF inajulikana kuliko ccm , na mimi ni member hapa , Melo yuko IMF , ushamuona polepole kule hata mara moja ?
 
Laiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki alichoandika sitathubutu kumpongeza hata chembe.

Benjamini Mkapa mtu aliyeingia madarakani baada ya kuapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Tanzania, huku akiwa na akili timamu hawezi kupongezwa na yeyote mwenye akili timamu kwa kuandika kitabu kinachoelezea namna alivyofanya madudu yake ikiwa ni pamoja na mauaji ya wapemba akiwa madarakani jambo ambalo ni kinyume cha Katiba aliyoapa kuilinda, nani aliyekuwa hajui kuhusu yeye kufanya biashara Ikulu, nani hakufahamu kuhusu wizi wa kienyeji wa EPA uliokuja kunufaisha chama chake?

Alipokuwa madarakani mbona hatukumsikia akipigia chapuo Tume huru ya uchaguzi, why now? Amelenga kumdanganya nani na kwanini, ni hofu ya uzee?

Mtu ambaye miaka michache iliyopita aliwaita wapinzani wapumbavu leo amepata wapi huruma ya kuomba washirikishwe kwenye michakato ya nchi?

Ikiwa kama lengo la Mkapa lilikuwa ni kutubu basi ni vema angekutumia njia ya madhabauni lakini si ghiliba hii ya kitabu, ikiwa kama tutamsifia huyu basi bila shaka na hawa wengine watatumia njia hii hii kuja kutung'ong'a ili nao wahurumiwe.

Siungi mkono kitabu cha Mkapa na makandokando yaliyo ndani yake na naomba msimamo wangu uheshimiwe.

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
Na wewe andika kitabu kumpinga. Usidandie ujiko Wa wenzio
 
Kwakuwa amekiri mwenye kuuua raia wasio na hatia pemba(Uhalifu wa kivita,mauaji ya halaiki,mauaji ya kimbali etc) na kupiga fedha za EPA wengine wapo jela kina farijala hussein na rajabu maranda(sina uhakika kama washatoka),BWM amequalify kabisa kubuluzwa The Hague kwa "Ocampo" wa sasa!!
Mkuu hana sikunyingi atatuto..ka.Hii ni kutuaga,umri ushaenda hata akifunguliwa kesi hautapita muda tutamlilia mana ndio anakwenda hivyo..
 
Laiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki alichoandika sitathubutu kumpongeza hata chembe.

Benjamini Mkapa mtu aliyeingia madarakani baada ya kuapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Tanzania, huku akiwa na akili timamu hawezi kupongezwa na yeyote mwenye akili timamu kwa kuandika kitabu kinachoelezea namna alivyofanya madudu yake ikiwa ni pamoja na mauaji ya wapemba akiwa madarakani jambo ambalo ni kinyume cha Katiba aliyoapa kuilinda, nani aliyekuwa hajui kuhusu yeye kufanya biashara Ikulu, nani hakufahamu kuhusu wizi wa kienyeji wa EPA uliokuja kunufaisha chama chake?

Alipokuwa madarakani mbona hatukumsikia akipigia chapuo Tume huru ya uchaguzi, why now? Amelenga kumdanganya nani na kwanini, ni hofu ya uzee?

Mtu ambaye miaka michache iliyopita aliwaita wapinzani wapumbavu leo amepata wapi huruma ya kuomba washirikishwe kwenye michakato ya nchi?

Ikiwa kama lengo la Mkapa lilikuwa ni kutubu basi ni vema angekutumia njia ya madhabauni lakini si ghiliba hii ya kitabu, ikiwa kama tutamsifia huyu basi bila shaka na hawa wengine watatumia njia hii hii kuja kutung'ong'a ili nao wahurumiwe.

Siungi mkono kitabu cha Mkapa na makandokando yaliyo ndani yake na naomba msimamo wangu uheshimiwe.

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
Napenda kukumbusha misemo ya wahenga kuwa Ibilisi akizeeka hubadilika na kuwa malaika. Watu wengine huchelewa kubadilika, tunatakiwa kukubali kuwa amebadilika na amejua kuwa nchi hii ni yetu sote, sio ya wanasiasa au chama fulani.

Vv
 
umemaliza yote hapo p
Mimi sitalishangaa bandiko hili maana baadhi ya Watanzania wenzetu wao kazi ni pinga pinga tuu kila kitu, kiwe kizuri, kiwe kibaya wao watapinga tuu.

Watu wa aina hii, niliwazungumza hapa

P
 
umemaliza yote hapo p
Hili haliwezi kumalizika kizembe namna hiyo , ukiruhusu haya ya Mkapa atakuja huyu
naye aandike kitabu aseme anajuta kuwabambika kesi Chadema kwa mauaji ya Akwilina yaliyofanywa na Polisi ( Mambosasa anajua ) , halafu naye apongezwe ! hii itakuwa ni sawa na kumkufuru Mungu .

Ndio maana unafiki kama wa Mkapa hautakubalika milele , bora ajikalie kimya kama Komandoo Salmin ambaye amekubali kupofuka macho lakini akabaki na msimamo wake wa Kishetani
 
Mimi nilipo sikia kwamba kimeandikwa kwa lugha ya bepari, ham yote ilinitoka siku hiyohiyo. Maana niliona wazi kwamba hapo kwenye lugha ndipo mwanzo wa kunikata chenga ya uelewa
😂😂😂😂😂😂😂
 
Laiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki alichoandika sitathubutu kumpongeza hata chembe.

Benjamini Mkapa mtu aliyeingia madarakani baada ya kuapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Tanzania, huku akiwa na akili timamu hawezi kupongezwa na yeyote mwenye akili timamu kwa kuandika kitabu kinachoelezea namna alivyofanya madudu yake ikiwa ni pamoja na mauaji ya wapemba akiwa madarakani jambo ambalo ni kinyume cha Katiba aliyoapa kuilinda, nani aliyekuwa hajui kuhusu yeye kufanya biashara Ikulu, nani hakufahamu kuhusu wizi wa kienyeji wa EPA uliokuja kunufaisha chama chake?

Alipokuwa madarakani mbona hatukumsikia akipigia chapuo Tume huru ya uchaguzi, why now? Amelenga kumdanganya nani na kwanini, ni hofu ya uzee?

Mtu ambaye miaka michache iliyopita aliwaita wapinzani wapumbavu leo amepata wapi huruma ya kuomba washirikishwe kwenye michakato ya nchi?

Ikiwa kama lengo la Mkapa lilikuwa ni kutubu basi ni vema angekutumia njia ya madhabauni lakini si ghiliba hii ya kitabu, ikiwa kama tutamsifia huyu basi bila shaka na hawa wengine watatumia njia hii hii kuja kutung'ong'a ili nao wahurumiwe.

Siungi mkono kitabu cha Mkapa na makandokando yaliyo ndani yake na naomba msimamo wangu uheshimiwe.

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
NI kweli kabisa Kwanza kitabu chenyewe amekuandika kwa kiingereza angali anajuwa lugha yetu ya mawasiliano ni kiswahili hata hivo msingi wa elimu aliubomoa yeye mwenyewe inakuaje anaandika lugha hiyo ametumia vigezo gani kuandika lugha hiyo Kama anataka watanzania wote wakisome je ni kweli watanzania wote wanauelewa wa lugha hiyo?kama siyo unafiki nini huyo mzee vipi !ubinafisishaji alioufanya kwenye madini nikikumbuka aliyosema nyerere halafu akaja kuyapuuza huwa inaniuma Sana! Mrema alimhenyesha mbona hakutaka tume huru Sasa hivi ameona nini angali mfumo wa vyama vingi ulianza zamani? Mzee pumzika kabisaa Kwanza kitabu chako umeandika lugha ya kigeni angali sisi ni watanzania na lugha yetu ya mawasiliano unaitambua vyema kutuandikia kiingereza ni kutusimanga ambao hatukupata elimu hiyo kwasababu yenu watawala mliokuwa mnajali matumbo yenu !! Unabinafusisha Mali asili za umma miaka 99 Hadi 100 halafu tukuone mzuri aiseee huyu mzee huyu
 
Back
Top Bottom