Hakutaka bwana yule akisome.Mimi nilipo sikia kwamba kimeandikwa kwa lugha ya bepari, ham yote ilinitoka siku hiyohiyo. Maana niliona wazi kwamba hapo kwenye lugha ndipo mwanzo wa kunikata chenga ya uelewa
Unamaanisha nini kwamba mabandiko yako ni superior kuliko ya wengine au?Mimi sitalishangaa bandiko hili maana baadhi ya Watanzania wenzetu wao kazi ni pinga pinga tuu kila kitu, kiwe kizuri, kiwe kibaya wao watapinga tuu.
Watu wa aina hii, niliwazungumza hapa
Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!
Wanabodi, Natanguliza Heri ya sikukuu ya Pasaka, leo naendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, na bado hoja kuhusu udikiteta Tanzania, zitaendelea, lakini kwa vile hoja ya udikiteta ni jambo kubwa na very serious kuhusu utawala na uongozi wa nchi yetu na linahusisha tuhuma nzito...www.jamiiforums.com
P
Eewaa nadhani hiyo ndio theme ya hicho kitabu sema tu wale wanaojifanya kuwa na akili kubwa wameshimdwa kuing'amuaLabda kunahitajika upembuzi yakinifu kujua hasara na faida ya hicho kitabu ktk nchi!!.. Hii inatoa alert kwa wenye akili,Upungufu wa katiba yetu ktk kuwabana viongozi pia inaonyesha udhaifu wa idara nyeti kwa kumuacha kiongozi kufanya madudu! Tujitafakari..
JF inajulikana kuliko ccm , na mimi ni member hapa , Melo yuko IMF , ushamuona polepole kule hata mara moja ?Utapata kisukari kijana,si kila jambo unalopinga unafungua thread
Wewe anakujua nani mpaka malalamiko yalete impact?
Kitabu kimeisha baada ya siku mbili tu
Nakushauri tunga kitabu chako kumbamiza mkapa,badala ya kulia lia kama mtoto
unaandika ujinga gani wewe ? bila shaka hicho kipara chako kitakuwa cha kulogwa .Tunajua akili zenu zilivyo finyu huwa mnasahau mambo kwa muda jiulize ilikuwaje kuhusu lowassa!
Off pointJF inajulikana kuliko ccm , na mimi ni member hapa , Melo yuko IMF , ushamuona polepole kule hata mara moja ?
Uliuliza mimi ni kama nani na kama hoja yangu ina impact yoyote , hayo ndio majibu nimekupaOff point
Na wewe andika kitabu kumpinga. Usidandie ujiko Wa wenzioLaiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki alichoandika sitathubutu kumpongeza hata chembe.
Benjamini Mkapa mtu aliyeingia madarakani baada ya kuapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Tanzania, huku akiwa na akili timamu hawezi kupongezwa na yeyote mwenye akili timamu kwa kuandika kitabu kinachoelezea namna alivyofanya madudu yake ikiwa ni pamoja na mauaji ya wapemba akiwa madarakani jambo ambalo ni kinyume cha Katiba aliyoapa kuilinda, nani aliyekuwa hajui kuhusu yeye kufanya biashara Ikulu, nani hakufahamu kuhusu wizi wa kienyeji wa EPA uliokuja kunufaisha chama chake?
Alipokuwa madarakani mbona hatukumsikia akipigia chapuo Tume huru ya uchaguzi, why now? Amelenga kumdanganya nani na kwanini, ni hofu ya uzee?
Mtu ambaye miaka michache iliyopita aliwaita wapinzani wapumbavu leo amepata wapi huruma ya kuomba washirikishwe kwenye michakato ya nchi?
Ikiwa kama lengo la Mkapa lilikuwa ni kutubu basi ni vema angekutumia njia ya madhabauni lakini si ghiliba hii ya kitabu, ikiwa kama tutamsifia huyu basi bila shaka na hawa wengine watatumia njia hii hii kuja kutung'ong'a ili nao wahurumiwe.
Siungi mkono kitabu cha Mkapa na makandokando yaliyo ndani yake na naomba msimamo wangu uheshimiwe.
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
Mkuu hana sikunyingi atatuto..ka.Hii ni kutuaga,umri ushaenda hata akifunguliwa kesi hautapita muda tutamlilia mana ndio anakwenda hivyo..Kwakuwa amekiri mwenye kuuua raia wasio na hatia pemba(Uhalifu wa kivita,mauaji ya halaiki,mauaji ya kimbali etc) na kupiga fedha za EPA wengine wapo jela kina farijala hussein na rajabu maranda(sina uhakika kama washatoka),BWM amequalify kabisa kubuluzwa The Hague kwa "Ocampo" wa sasa!!
Watanzania siyo wajinga sana !Ndio maana nikasema sitashangaa. Kiukweli naheshimu mawazo ya kila mtu humu jf, hata kama sikubaliani nae.
P
Wanadamu hawatamsaidia kitu , akatubu kwa muumba wake .Mkuu hana sikunyingi atatuto..ka.Hii ni kutuaga,umri ushaenda hata akifunguliwa kesi hautapita muda tutamlilia mana ndio anakwenda hivyo..
Napenda kukumbusha misemo ya wahenga kuwa Ibilisi akizeeka hubadilika na kuwa malaika. Watu wengine huchelewa kubadilika, tunatakiwa kukubali kuwa amebadilika na amejua kuwa nchi hii ni yetu sote, sio ya wanasiasa au chama fulani.Laiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki alichoandika sitathubutu kumpongeza hata chembe.
Benjamini Mkapa mtu aliyeingia madarakani baada ya kuapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Tanzania, huku akiwa na akili timamu hawezi kupongezwa na yeyote mwenye akili timamu kwa kuandika kitabu kinachoelezea namna alivyofanya madudu yake ikiwa ni pamoja na mauaji ya wapemba akiwa madarakani jambo ambalo ni kinyume cha Katiba aliyoapa kuilinda, nani aliyekuwa hajui kuhusu yeye kufanya biashara Ikulu, nani hakufahamu kuhusu wizi wa kienyeji wa EPA uliokuja kunufaisha chama chake?
Alipokuwa madarakani mbona hatukumsikia akipigia chapuo Tume huru ya uchaguzi, why now? Amelenga kumdanganya nani na kwanini, ni hofu ya uzee?
Mtu ambaye miaka michache iliyopita aliwaita wapinzani wapumbavu leo amepata wapi huruma ya kuomba washirikishwe kwenye michakato ya nchi?
Ikiwa kama lengo la Mkapa lilikuwa ni kutubu basi ni vema angekutumia njia ya madhabauni lakini si ghiliba hii ya kitabu, ikiwa kama tutamsifia huyu basi bila shaka na hawa wengine watatumia njia hii hii kuja kutung'ong'a ili nao wahurumiwe.
Siungi mkono kitabu cha Mkapa na makandokando yaliyo ndani yake na naomba msimamo wangu uheshimiwe.
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
Mimi sitalishangaa bandiko hili maana baadhi ya Watanzania wenzetu wao kazi ni pinga pinga tuu kila kitu, kiwe kizuri, kiwe kibaya wao watapinga tuu.
Watu wa aina hii, niliwazungumza hapa
Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!
Wanabodi, Natanguliza Heri ya sikukuu ya Pasaka, leo naendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, na bado hoja kuhusu udikiteta Tanzania, zitaendelea, lakini kwa vile hoja ya udikiteta ni jambo kubwa na very serious kuhusu utawala na uongozi wa nchi yetu na linahusisha tuhuma nzito...www.jamiiforums.com
P
Hili haliwezi kumalizika kizembe namna hiyo , ukiruhusu haya ya Mkapa atakuja huyuumemaliza yote hapo p
πππππππMimi nilipo sikia kwamba kimeandikwa kwa lugha ya bepari, ham yote ilinitoka siku hiyohiyo. Maana niliona wazi kwamba hapo kwenye lugha ndipo mwanzo wa kunikata chenga ya uelewa
NI kweli kabisa Kwanza kitabu chenyewe amekuandika kwa kiingereza angali anajuwa lugha yetu ya mawasiliano ni kiswahili hata hivo msingi wa elimu aliubomoa yeye mwenyewe inakuaje anaandika lugha hiyo ametumia vigezo gani kuandika lugha hiyo Kama anataka watanzania wote wakisome je ni kweli watanzania wote wanauelewa wa lugha hiyo?kama siyo unafiki nini huyo mzee vipi !ubinafisishaji alioufanya kwenye madini nikikumbuka aliyosema nyerere halafu akaja kuyapuuza huwa inaniuma Sana! Mrema alimhenyesha mbona hakutaka tume huru Sasa hivi ameona nini angali mfumo wa vyama vingi ulianza zamani? Mzee pumzika kabisaa Kwanza kitabu chako umeandika lugha ya kigeni angali sisi ni watanzania na lugha yetu ya mawasiliano unaitambua vyema kutuandikia kiingereza ni kutusimanga ambao hatukupata elimu hiyo kwasababu yenu watawala mliokuwa mnajali matumbo yenu !! Unabinafusisha Mali asili za umma miaka 99 Hadi 100 halafu tukuone mzuri aiseee huyu mzee huyuLaiti kama Mzee huyu angeandika kitabu cha kufundishia watoto shuleni cha alphabet kama 'a e i o u' au cha hesabu ama kiswahili sanifu basi nisingetia neno lolote, lakini kwa kitabu hiki alichoandika sitathubutu kumpongeza hata chembe.