Msimamo: Napinga Mkapa kupongezwa kwa kuandika kitabu kinachoeleza makandokando yake

Nilimtegemea kuwa mstari wa mbele kukikuza na kukienzi Kiswahili lakini yeye ndio kwanza anaipamba lugha ya malkia.
Ni bora angekichapisha katika lugha zote mbili ili kuwapa nafasi kubwa walengwa wengi walioishi utawala wake ambao wanajua Kiswahili.
Mie naona kuandika kwa kingereza wakati uliokua unaowaongoza wanaongea Kiswahili si sahihi
 
Ukitaka kusikia mambo yenye soko Afrika hii ni kama hadithi za akina Idd Amin, Bokasa, nk. hao wako safi kwa kuwa historia yao inaandikwa na wengine kiuhalisia, badala ya mapambo haya.

Hivi vyote hakuna jambo la kujifunza. Hata wale wengine walioandika I can .... bhla bhla! wote ni kuigiza. Hawasemi maisha yao hasa ni yapi na wapi walitumia akili ili kuigwa.
 
Mkapa aliamua kuandika kitabu hicho kama njia ya toba kwa maovu mengi aliyoyafanya na ndio maana hata mgeni mwalikwa badala ya kujikita kuelezea hoja angalau chache zilizoainishwa na mtunga kitabu ndio kwanza akaamua kuelezea maisha yake yeye kuwa ilikuwa auliwe kwa kupewa sumu.Hilo linafanya dhana nzima ya uzito wa hoja za Mkapa kuyeyuka huo ni usanii tu.
 
Alisema ataandaa nakala kwa lugha ya Kiswahili ili kila Mtazania anaetaka kukisoma aweze kukisoma kwa urahisi
 
Wanadamu hawatamsaidia kitu , akatubu kwa muumba wake .


Ijapokuwa Mungu anapendezwa na Toba ya binadamu kwa binadamu pia,

Anasema mtu akikosea muonye akitubu msamehe.

Kwa hiyo tusijidanganye kuwatenda watu maovu halafu ujifanye kutubu kwa siri mbele za Mungu.

Kanuni inataka utengeneze yani uwaombe msamaha na kuwasamehe waliokukosea kwa kusema nao ndipo uende mbele za Mungu kuomba msamaha.

Kwenye ile Sara ya Baba yetu uliyembinguni ......

Utusamehe makosa yetu kama sisi tunavyowasamehe waliotukosa ..........
 
Napinga bandiko lako..
 


Some how you have a point.. ila dah we jamaa huwapend sana wakijan... kila title yako inawakaanga viongoz wakeInaelekea umewachoka had basi... any way kumpa benefit of the doubt Mkapa.. labda alipokuwa madarakan alikuwa namihemko ya kiuongoz.. baada ya kutoka nje ya picha ndo akaona demage alioifanya... labda alishatubu madhabahun ila nafs ikamsuta nankuamua kutumia professional yake ya kalamu kuyaweka hadharan.. si unajua when the bad deed is hunting you ... kwa hiyo akaamua kuweka kumbukumbu kwa kuandika kitabu ili iwe reference ya viongoz wajao kuwa in the end nothing Good came out of it.... i am just trying to paint him rainbow colors ili kuwa fair. [emoji1]
 
Jikague kama unazo akili kwenye ubongo wako kwa kutembelea Mirembe Hospital.

Kitabu cha Mkapa ni masterpiece
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…