Msimamo: Napinga TBC kurusha Live Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Wewe "ni kina nani" kwani? Ni CCM siyo?

Nyie mnayo TV Channel ya kurusha matangazo "live?"

Inaitwaje? Iko wapi?
Umeona CCM wamekosa coverage kwa tukio lolote? Chanel 10 na Uhuru ni vyombo rasmi vinavyomilikiwa na CCM, bado kuna vyombo mamluki vilivyo na uhusiano wa chini kurusha propaganda za CCM, halafu nyumbu wa CDM anaikataa TBC anasubiria Global Tv na Ayo ndio warushe hizo habari Tz nzima, kuwa nyumbu ni hasara kwa Taifa...
 
Nina wasiwasi mambo yatakayowagusa wananchi na kuwatoa usingizini ,kutatokea hitilafu kwenye mitambo au tanesco watakata umeme. Adui yako usimwamini sn hasa anapojifanya rafiki yako ghafla bin vuu.
 
Umejuaje TBC inatangaza wakati tulikubaliane tusiiangale?
...kumbe huwa unaichunguliaga?
Msaliti wewe!
 
Tibisi ni television ya taifa,wanaruhusiwa kufanya jambo lolote......hebu tuache wafanye yale tuliyokuwa tunayalalamikia kuwa hawako fea.

Hawawezi tangaza mpaka mwisho

Wanaenda ku establish uzushi hapo

Wataibuka na propaganda kwamba Tulikata matangazo sababu TL alitumia lugha chafu, hakuwa na nidhamu, nk

Nondo na hoja za Lisu TBC, ccm hawawezi kurusha live wala kustahimili ni mizinga na makombora ya masafa marefu ICBM. Wanatafuta pa kumchafulia MH Lisu.
 
wew ni bure kabisa
 
Cjajua Sana co
 
Nina wasiwasi mambo yatakayowagusa wananchi na kuwatoa usingizini ,kutatokea hitilafu kwenye mitambo au tanesco watakata umeme. Adui yako usimwamini sn hasa anapojifanya rafiki yako ghafla bin vuu.
 
Yani Chadema hamueleweki mnataka nini wasipoonyesha kilio,wakionyesha kilio!
 
Wewe jamaa sijawahi kukuelewa sijui kwa sababu ya utiro wako, kamanda wewe ni wa tiro kweli kweli unashindwa ata na Mmawia 🤣 .
 
Miaka 5 hatujawahi kuonyesha na bado tupo na wanachama kibao tbc isitafute kiki kwa chadema
Huu ndio unyumbu sasa, CDM iwe kiki kwa TBC wakati hamna hata channel moja inayo onyesha matukio yenu live, huu ujinga unapatikana Ufipa tu.
 
TBC kuonyesha mikutano ya chadema ni njama chafu ,wanataka vyombo vingine visirushe warushe wao tu na wateke watu wanaofuatilia chadema kupitia tbc ,wameona bila kuonyesha chadema hamna anayewafuatilia
 
Mic kabla ya kuziweka huwa zinatestiwa na anayeweka?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…