Msimamo: Napinga TBC kurusha Live Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Huu ndio unyumbu sasa, CDM iwe kiki kwa TBC wakati hamna hata channel moja inayo onyesha matukio yenu live, huu ujinga unapatikana Ufipa tu.
Shida ni kwamba Lissu ataanza kusema ukweli wa Yesu wa Lumumba alaf watzima sauti au matangazo ndio maana ni bora wasioneshe.
 
Grace kingalame mtangazaji wa TBC ni mjumbe wa mkutano mkuu wa UWT, Enock Bwigane ni mwana CCM, alienda kugombea ubunge huko kwao maporini ....almanusra afe kwa ajali, ila akamtoa ndagu dereva wake
 
Gazeti la Tanzania daima lilifanywa nn?


Shida sio kuwa na channel sida Ni uo Uhuru wa hiyo channel utakuwepo?
 
Umechuja sana Kamanda jiongeze kipindi hiki cha kampeni, tegemeo langu kukuona unakuwa kipropagada sio kuja na vinyuzi kama vya chekechea.
sikuingia jf kufurahisha watu , nilikuja hapa kuweka facts tu , ipo option ya ku ignore usiyemtaka , fanya hivyo haraka maana ni bure tu
 
Bavicha at their best...hypocrysy at its purest level...
Hivi si nyie ndio huwa mnapiga kelele jamaa hawako fair...
 
Grace kingalame mtangazaji wa TBC ni mjumbe wa mkutano mkuu wa UWT, Enock Bwigane ni mwana CCM, alienda kugombea ubunge huko kwao maporini ....almanusra afe kwa ajali, ila akamtoa ndagu dereva wake
Shukrani kwa ushahidi mwanana
 
Ni mtego huo. Kiongozi yeyote akihutubia na kumtaja Magufuli, TBC watakata matangazo ya live hivyo Watanzania hawatapata kuona kinachoendelea.
Ni heri CHADEMA ingelipia kwenye channel nyingine ipate haki ya mikutano yao kuonyeshwa.
 
Hakuna hata siku wananchi wameacha kuiangalia TBC, tena nyinyi wanasiasa ndiyo mnaongoza kuiangalia maana kila linalorushwa na TBC huwa mnalikosoa. Je huwa mnakosoa kitu ambacho hamjakiona?
Mimi nawashauri nyinyi wafia vyama kamba mkitaka kuishi kwa kutumia ubongo wenu achaneni na siasa hizi za maji taka. Maana zinawafanya muonekane Kama hamnazo.
 
Hujui.....Aliyewaloga baadhi ya waTZ hajazaliwa!.......Sijui.......Mmh! TBC wanatafuta umaarufu siyo!! Binadamu msiyokuwa na soni, sasa hata hiyo Katiba mpya na Tume huru mnazodai nazo si mzitafute nyumba kwa nyumba? Maana msije kutumika kama ngazi......!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…