Msimamo: Napinga TBC kurusha Live Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Bwashee punguza jazba,si Kila Jambo lipo km unavyoliona.
 
Mkuu mbona simple Sana. Wafukuzeni. Hapa unamlilia nani wakati wewe na TBC wote mupo hapo uwanjani.
Juzi hapa mulikua munalia TBC kua live kwenye zoezi la kuchukua na kurejesha fomu kwa mhe rais Magufuli kua TBC wanatakiwa kua live pia kwa lissu.
 
Tatizo mlitaka mpate point ya kuisimanga TBC
 
Ooh boy!

Umejiunga lini JF son?
 
Naona unajaribu kuminya uhuru wa vyombo vya habari
 
Mods mbona huu uzi hamjauunganisha na ile mingine. Hii ina tofauti gani na ile mingine. Kwasabb content ni Ile ile TBC kurusha live matangazo ya uzinduzi wa Chadema.
 
Nilivuta bangi nikaulizwa kirefu cha TBC ni nini nikaropoka "Toto Baya Choyo" muuliza swali akatazama chini akitafakari jambo kwa dakika 1,akatikisa kichwa kama anakubali jambo,kisha akaondoka bila kutamka neno
 
Naona TBC Wapo Mbashara!!!


Uchaguzi Mkuu 2020 Dar Es Salaam..


Hawa TBC Wamepatwa na nini...?? HAHAHA
 
Mbona watu wachache hivi? Ni mgombea wa udiwani anazindua kampeni?
 
Makamanda wana akili mbovu kama huyu mleta mada. Sasa hapo ndio amewaza nje ya box.

Ebu chukulia huo kama ni ushindi baada ya kuisema sana TBC.
 
TBC wala haina ujasiri wa kuonyesha hotuba za upinzani
 
Hao mafalawenu atbc waende huko wakanyese KUHAMIA DODOMA, hatuwataki huku wanatu;eta uchuro kilihokuwa kinawazuia kutambua kwa wao ni chombo ch tif ni nini na leo kimeeda wapi ??
 
Hao mafalawenu atbc waende huko wakanyese KUHAMIA DODOMA, hatuwataki huku wanatu;eta uchuro kilihokuwa kinawazuia kutambua kwa wao ni chombo ch tif ni nini na leo kimeeda wapi ??
Vipi mbn ubongo una vibrate, acha kunyetuka akili itengemae.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkubwa uliona Mbali Sana. Kinachofanywa na TBC ni hujuma ya wazi Mana wanaita ni Matangazo Mubashara Ila wanaoongea ni watangazaji badala ya wenye Kampeni. Sasa waaachaje kumrusha Mbowe?
 
Wafukuzeni muda huu msichelewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…