PreGE2025 Msimamo wa CHADEMA wa “No reform, no election”, nani yuko nyuma yao anayewapa ujasiri na kusonga mbele?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aliyekuwa nyuma yao ni bapa, uongo na kuropoka.
 
Hakuna uchaguzi huru lakini rais anapoona hakubaliki sana ni lazima awe na wasiwasi mkubwa. Na mbaya zaidi CCM ndiyo hawamtaki.
Mastermind wao wa siasa mcc, akikohoa tu kila Mwana MCC anasema oye, hakuna wa kupiga wazi wazi na Ukipiga unavuliwa uanachama.
 
The state!

NETO +UYAM+NO REFORM NO ELECTION=JESHI KUSHIKA HATAMU BAADA YA UKOMO WA SERIKALI KUPITA,NDIO KATIBA IANDIKWE!!

Unafikiri baada ya serikali kuvunjwa na mama sio amiri jeshi mkuu,unafikiri jaji mkuu ataamuru polisi wapige wananchi!?au ma IGP wapige waandamanaji!!?yaani Ibrahim juma apige raia !!?coz mama atakua mtia nia na sio amiri jeshi mkuu!!

CCM imekiuka agizo la kitabu kipya"kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamalizika kwa hesabu hii"Tumia akili.

Mawazo binafsi!nawaza tu!Huwa najiwazia TU mwenzenu nipo tayari kukosolewa!! Mimi sio Mbea kama mama asemavyo eti Kuna wanaune ni wambea!!hapana nawaza tu!
 
Binafsi sijaona haja ya kuhakiki taarifa zangu kwenye daftari sababu sioni tija yake, bora nkatafte zangu mkate wa watoto!
 
Kwanini mnapendaga sana kujiliwaza na mambo ya kipumbavu? Lini CCM iliwahi kukiogopa chama chochote cha siasa za upinzani Tanzania hii? CCM na Serikali yake inaendelea na mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani bila wasiwasi wowote, halafu kuna mbwa inatokea eti CCM imepanic! PUMBAVU!
 
Aiseee, mkuu RESILIENT KATO kwenye hiyo The State huyo Mastermind wa MCC na vyama vingine ni miongoni mwao, je kuna mpango asijue ndani ya The State?
 
Fikra za hovyo za chadema ni kuendelea kupata ruzuku na kuwa chama kikuu cha upinzani
 
Hata wewe ukijipa nafasi ya kuwasikiliza, utawaelewa na utawaunga mkono..

IBADA wanayoifanya ni kubwa , labda kama hupendi uchaguzi HURU na wa HAKI..
Je ujasiri walio nao ni wa Chedema pekee au kuna mtu/watu nyuma yao wa nje ya chama?
Je Chadema imeingizwa njia wrong na watu wa system ili baada ya uchaguzi ife?
Ni kwa kiasi gani baada ya uchaguzi Chedema itaendelea kuwa na nguvu na ushawishi?
Vipi fununu fununu za mzee wa gear angani kuja kutimkia chama kingine?
 
Walio nyuma ni wanachama wa chadema na watz wote wapenda haki
 
Chadema ni Lango linalotumiwa na Wana idara ambao hawajaridhishwa na muelekeo was mwenyekiti ndani ya chama tawala!!yaani wapanga mikakati wapo ccm wakiwatumia chadema kufanikisha azma yao!!

Tone tone wachangiaji wengine ni CCM!!

Nawaza tu mimi!
 
Chadema ni Lango linalotumiwa na Wana idara ambao hawajaridhishwa na muelekeo was mwenyekiti ndani ya chama tawala!!yaani wapanga mikakati wapo ccm wakiwatumia chadema kufanikisha azma yao!!

Tone tone wachangiaji wengine ni CCM!!

Nawaza tu mimi!
Mkuu kama ni hivyo idara yetu inamakosa sana pamoja na Mwl, walishindwa nini 1992 waliporidhia mfumo wa vyama vingi nchini kuwe na Chama A na Chama B,
Chama A kikifanya vibaya sana kwenye uongozi, baada ya muda fulani chama B kichukue usukani ili chama A kijitafakari wapi kilikosea, matokeo yake siku moja anasema "ccm siyo baba wala mama yangu......" ovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…