PreGE2025 Msimamo wa CHADEMA wa “No reform, no election”, nani yuko nyuma yao anayewapa ujasiri na kusonga mbele?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata wewe huna tofauti na hao unaowasema. Ujenzi wa hoja zako tu unaashiria kuwa hujui chochote na unaogelea ktk wimbi la ujinga uleule wa ki - CCM....

Aidha u - mjinga kwa sababu ni wazi kabisa kuwa huelewi hata maana tu ya "NO REFORMS, NO ELECTION" achilia mbali hoja zinazoibeba na kuitetea kauli mbiu hii ambazo wenzako hawa (i.e CCM na serikali yao) unaowananga wanazijua, wanazielewa na kutambua kwa hakika kabisa kuwa MADAI YA CHADEMA sambamba na HOJA ZAO NI ZA KWELI ZISIZOKUWA NA HATA CHEMBE MOJA YA SHAKA....!

Bahati mbaya tu kwao ni kuwa, wanaogopa kuutazama na kuukabili ukweli ulio mbele ya nyuso zao badala yake wanahangaika na kuteseka hovyo na mwisho wa siku ndiyo maana wanaropoka ropoka hovyo kama njia ya kujilinda...

Sikiliza bwana, ujasiri wa CHADEMA na kusonga kwao mbele, it's simply tu kwa sababu wameishika kweli na YESU KRISTO ktk mafundisho ya Neno lake anasema MKIIJUA KWELI NA KUIKUMBATIA, BASI HIYO KWELI ITAWAWEKA HURU, TENA SI TU HURU, BALI MTAKUWA HURU KWELIKWELI...!

Wenzako CCM na serikali yao wanatembea ktk UONGO na ULAGHAI mtupu matokeo yake wamekuwa watumwa ktk uongo na ulaghai wao....

Wenzao CHADEMA wanatembea ktk KWELI na HAKI na kwa hiyo nguvu ya Mungu imewafunika na kuwalinda huku wenzao wakihaha na kulemewa na zigo la UONGO na UDANGANYIFU mwingi...!
 
Ndugu yangu the palm Beach hasira na makasiriko ya nini?
 
Kuna kitu sio bure.
Ukiangalia press za mwanzo, Mwanzo za Lissu unagundua kuna Backup Wanayo.

Tuendelee kuiombea nchi yetu
Tuiombee au tufurahi? Chadema ni mpango wa Mungu.

Mngejua namna CCM wanavyowaibia masikini wa hii nchi kesho mngelazimisha CHADEMA ndo waliongoze hili taifa.
 
Je viongozi wa Chedema na wanachama wao wote ni Wakristo hadi watembea katika nukuu ya Biblia pekee?
 
Chadema ni Lango linalotumiwa na Wana idara ambao hawajaridhishwa na muelekeo was mwenyekiti ndani ya chama tawala!!yaani wapanga mikakati wapo ccm wakiwatumia chadema kufanikisha azma yao!!

Tone tone wachangiaji wengine ni CCM!!

Nawaza tu mimi!
Acha uhuni mkuu, ccm mpaka wafanya kumtisha mgombea kihuni nani alaumiwe? Ccm imekufa kifo kibaya sana angalia kanda ya Nysa mtiti wa wananchi , na hawabebwi na mikokoteni
 
Master @tumainel karibu.
 
Nami kama Mtanzania nisiyefungamana na chama chochote naamini malengo ya kuanzisha chama cha siasa serious si ruzuku na wala si kuwa chama kikuu cha upinzani bali ni kushika dola.
Unauliza nani yuko nyuma yao mpaka wanakuwa na msimamo usioyumbishwa kwenye 'no reform no election' what exactly are you insinuating? Unapokuwa na msimamo thabiti katika unachokiamini si lazima kuwe na support kutoka nje yako au nje ya mfumo wako ila ufahamu CHADEMA ni chama cha siasa na nguvu yao ni members and other supporters who not members of the party.
 
Sawa nimekupata mkuu, lakini bila shaka uongozi wa Chedema unajua kitu chema wanachokifanya kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa na gharama zake, na wanajua nguvu ya ccm na serikali yake, wanajua hujuma za ccm, foul, propaganda za ccm lkn hawaogopi,
Tumeona vitisho na tahadhari mfano Evarist Chahali na baadhi kusema viongozi wa Chedema ulinzi uongezwe nk nk, ktk huu mtiti ila hawaogopi, je nani anawapa ujasiri ukiacha Mungu Muumba wa vitu vyote? Maana hata Ibrahimu alikuwa na ujasiri akiwa anasubiri ahadi kutimia ya kupata mtoto wa ahadi Isaka lkn Km binadamu pamoja na kuongea na Mungu kuna kipindi hofu za kibinadamu zilimshika yeye na Sara wakaamua kutafuta mtoto kupitia kijakazi.
 
Je viongozi wa Chedema na wanachama wao wote ni Wakristo hadi watembea katika nukuu ya Biblia pekee?
Ujinga mwingine huu...

Hiyo nukuu nimeitoa mimi The Palm Beach na sio "wana - CHADEMA wote" kama unavyoandika hapa...

So, you can take it and absorb its truth or you can ignore it and walk away 🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻

All in all, don't pretend to be naive and ignorant all the time because you can be better than that....

Nevertheless, wewe au mtu mwingine yeyote kama unayo nukuu kutoka kwenye vitabu vya dini yako, itoe tutakuelewa...
 
Kwa kuwa umezoea kutumiwa kama puppet na kuagizwa huna maamuzi unafikiri kila mtu Anatumwa kwanza ndio afanye vitu! Acha kukariri, watu wana uchungu na nchi yao we subiri chumbi ukampe mama yenu kula
 
Tushiriki UCHAFUZI ili iweje? Serikali ya CCM wameamua kuwa watekaji, wauaji, wala rushwa, wezi wa uchaguzi. Bladifakeni
 
Mkuu kunywa maji kwanza upate ku relax, Naona. Makasiriko na hasira nyingi vimekukaa.
 
Hii wala isikuigopeshe mkuu haina tofauti na utopolo wakisema hatchezziiii
 
Sasa mkuu ndio ujue Kuna Nini nyuma ya pazia kama Hali inakua hivyo!

Anaefanya hayo anakua nani kama Raise sio amiri jeshi mkuu tena na serikali ishavunjwa!!?Ina maana kikatiba SI jaji mkuu ndio mwenye serikali !!?labda wajuvi waje waseme uhalisia wa yote!!
 
Definition ya "jinga" ndiyo wewe mwenyewe...

Yaani wewe hapo ulipo ndio maana yenyewe ya neno hilo...!!
Mjinga ni mtu ambaye hajui jambo,
Ndio maana post yangu ipo katika mfumo wa kuuliza maswali,
Mtu mjinga akifahamishwa kitu alichotaka kujua na kilichomfanya aonekane mjinga, ujinga wake unaondoka kwenye eneo hilo.
Your browser is not able to display this video.

Msikilize Mwl Nyerere.
 
Kumbe una akili kiasi fulani...

Kwa hiyo, hakuna shaka kuwa ujinga umeshakutoka sasa, ndugu Emanueli misalaba, au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…