Msimamo wa makundi Klabu bingwa Africa baada ya mechi za leo...Simba inaongoza kundi lake.

Msimamo wa makundi Klabu bingwa Africa baada ya mechi za leo...Simba inaongoza kundi lake.

Na Simba atajipigia tu hao Al Ahly.
Mnyama njia nyeupeeeee!
(chura churani wananunaje?)
Mpira siyo taarabu, let's wait maana maumivu mtaanza kuyapata hapo kongo tu,wale vita wakija Bongo wanapata matokeo ,kama uliona game ya al ahaly utaelewa
 
Back
Top Bottom