Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Na timu yangu as vita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na timu yangu as vita
Kwa mechi ya jana,al ahaly walizidiwa wale vita wapo vzrAl ahly anabebwa pia na historia
Na Simba atajipigia tu hao Al Ahly.Kwa mechi ya jana,al ahaly walizidiwa wale vita wapo vzr
Hahah!! Maelezo ya kubadilisha gia angani mkuu.
Alhaly ndo wa kuchapa hapa BongoMapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu
Mpira siyo taarabu, let's wait maana maumivu mtaanza kuyapata hapo kongo tu,wale vita wakija Bongo wanapata matokeo ,kama uliona game ya al ahaly utaelewaNa Simba atajipigia tu hao Al Ahly.
Mnyama njia nyeupeeeee!
(chura churani wananunaje?)
😁😁😁
[emoji3][emoji3] hata mzoga mkuu.Simba huwa habagui aina ya nyama, anatafuna zoote, jichanganye uone utageuzwa asusaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe refa alikuwa mwarabu mwenzaoUshindi wa aly ahly kila mtu ana dauti nao
Ona hapa
View attachment 993214View attachment 993215
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Simba hii ya sasa kutoboa mbele ya Ahly labda Manara awe refa.Red card ilikuwa ya mauzauza sana ila wale Ahly siyo Wa kawaida ndugu. Jamaa wana mpira wa kasi sana hasa wanapokuwa kwao
Hao Al Ahly uchezaji wao ndio uko hivyo miaka yote. Unaweza waona wakawaida ila unashangaa watinga hadi fainali.Kwa mechi ya Jana ya Al ahly imeonesha ni wa kawaida sana. Red card imewasaidia kupata ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeeKwa Simba hii ya sasa kutoboa mbele ya Ahly labda Manara awe refa.
Maneno mengine mnayatoaga wapi?"Kutangulia bar sio kuwahi kulewa"
👍💪🏿💪🏿Hongera Simba.