Msimamo wa nchi za Afrika juu ya suala la Urusi na Ukraine ni jambo dogo sana linalopaswa kuongozwa na kanuni, sio maslahi ya nchi zetu

Kwa Tanzania, huu ni unafiki!

KURA ZA UMOJA WA MATAIFA KATIKA KUIPINGA URUSI KUIVAMIA UKRAINE

 
Nimechukizwa sana na kitendo hiki cha Tanzania, maana hili suala liko wazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…