Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Wadau huu ndio msimamo wa olimpik mpaka mchana wa Leo idad ya medal na waliojinyakulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Japan hawataki MagaidKichwa cha mwendawazimu vipi, hamjapeleka washiriki?
Afrika masharik naiona Kenya tuKichwa cha mwendawazimu vipi, hamjapeleka washiriki?
Kisiwa cha aman gaid anadhughulikiwa kabla hajachipuaHuko Japan hawataki Magaid
Huioni Uganda ?!Afrika masharik naiona Kenya tu
Zanzibar je?Huioni Uganda ?!
huo ni ufupisho tu kwa lugha yao .Why Russia wanajita RoC?
Upo sahihHuioni Uganda ?!
Kulingana na namna tulivyowekeza hatujatia aibu hata kidogoQatar?..tumetia aibu sana
Uganda naye ana medali kadhaa, nadhani 3 zile kwenye riadha...Afrika masharik naiona Kenya tu
Kichwa cha mwendawazimu vipi, hamjapeleka washiriki?
Wengi wanazingatia zaid medal ya dhahabuUganda naye ana medali kadhaa, nadhani 3 zile kwenye riadha...
Kuna jamaa wawili walipata fedha na shaba, na kuna dada alipata dhahabu...
Kiufundi Urusi kama nchi haipo kwenye mashindano ya Olimpiki, hiyo ni baada ya kupigwa marufuku kama sijakosea ya miaka minne baada ya hapo nyuma kufeli sana kwenye vipimo vya doping (matumizi ya madawa michezoni ya kuupa mwili nguvu zaidi)...Why Russia wanajita RoC?