Msimamo wa Olimpik mpaka mchana wa leo

Msimamo wa Olimpik mpaka mchana wa leo

Muuza viatu

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2020
Posts
3,840
Reaction score
7,920
Wadau huu ndio msimamo wa olimpik mpaka mchana wa Leo idad ya medal na waliojinyakulia
Screenshot_20210805-173834.jpg
Screenshot_20210805-174445.jpg
Screenshot_20210805-174457.jpg
Screenshot_20210805-174509.jpg


Screenshot_20210805-174509.jpg
 
Nchi ina zaidi ya watu 30milioni tu skubali kuwa utopolo kwenye olympic kisa simba na yanga?
 
Why Russia wanajita RoC?
Kiufundi Urusi kama nchi haipo kwenye mashindano ya Olimpiki, hiyo ni baada ya kupigwa marufuku kama sijakosea ya miaka minne baada ya hapo nyuma kufeli sana kwenye vipimo vya doping (matumizi ya madawa michezoni ya kuupa mwili nguvu zaidi)...

Hawa wanaojiita ROC ni muunganiko wa wanamichezo wa Kirusi ambao waliungana kupitia kamati ya Olimpiki ya Urusi na kuomba kwenye Olimpiki ya dunia kushiriki kama wanamichezo huru na sio nchi...
 
Back
Top Bottom