Msimamo wa Olimpik mpaka mchana wa leo

Msimamo wa Olimpik mpaka mchana wa leo

Marekani ni pool ya vipaji, pale utakuta hata 30% ya washiriki sio wazawa. Arnold Schwarzenegger kazaliwa na kukulia Austria ila kawa gavana wa jimbo kubwa kiuchumi Marekani. Ile nchi ishajielewa hata sisi tunatamani kuishi kule
Marekani ni land of opportunities na kinachowasaidia ni kukaribisha watu wa mataifa mbalimbali na talents tofauti tofauti so ule muingiliano unazalisha mambo makubwa. USA imejengwa na immigrants aisee
 
Wapo vzr kwenye kupangilia mambo na kuyasimamia
 
Jumapili
Saa 1 asubuhi kwa muda wa Japan...ambayo itakuwa saa 7 usiku kwa muda wa Tanzania...

Yaani hii ni jumamosi kuamkia jumapili (yaani kunapokuchwa inakuwa jumapili)
Wapo mbali sana
 
Mpaka Leo asubuh
Screenshot_20210807-083358.jpg
Screenshot_20210807-083415.jpg
Screenshot_20210807-083429.jpg
Screenshot_20210807-083443.jpg
 
Why Russia wanajita RoC?
ROC ni Russia Olympic Comittee. Urusi walikia banned kushiriki mashindano ya olympiki kwa 4years... Nadhani sijui walipunguziwa to 2years kwa sababu ya walikugundilka kuwa na programu maalumu ya dopping (kutumia madawa ya kusisimua misuli na kuongeza nguvu katika michezo) program ambayo ilikua ni Stare Sponsored kwa wanamichezo wake zaidi ya 1000...,

kwa hiyo baada ya kupunguziwa adhabu waliruhusiwa kushiriki nje ya wale wanamichezo waliokutwa na scandal, individual na wasivae wala kupeperusha bendera ya Russia, wala kuimba wimbo wa Taifa wa Russia pale wanapochukua medali za[emoji966].Na jezi zao zenye nembo ya ROC zinaweza kuwa any colour.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Marekani ni watu wa-bad sana, kila sekta wao huongoza, Ni taifa la namna gani aisee?!
Watu weusi wanaibeba. Yani huko ulaya watu weusi ndio wanabeba hizo nchi kwenye maswala ya manguvu
 
Watu weusi wanaibeba. Yani huko ulaya watu weusi ndio wanabeba hizo nchi kwenye maswala ya manguvu
Marekani huwezi Kusema weusi ndio wanawabeba wakati hata weupe wamechukua medal pia, kwanza ninadhani msimu huu weupe wamefanya vizuri kuliko weusi, Weusi wengi wapo kwenye riadha na msimu huu hawajafanya vizuri ndio maana hata kwenye gold yupo nyuma ya Mchina, ila pale ule mchanganyiko ndio unawabeba, yaani kuna sekta Weupe wamepashika na kuna upande Weusi wamepashika, so huo muunganiko ndio unawaweka Marekani juu.
 
huo ni ufupisho tu kwa lugha yao .
РОССИЯ =РОС

Mkuu hapana, Urusi kama nchi ilifungiwa (Doping cases) ILA katika kipindi hiki cha uangalizi kuna kamati maalum tu imepeleka washiriki kadhaa. Mwenye ufahamu kinzani anakaribishwa.

Ahsante
 
Mkuu hapana, Urusi kama nchi ilifungiwa (Doping cases) ILA katika kipindi hiki cha uangalizi kuna kamati maalum tu imepeleka washiriki kadhaa. Mwenye ufahamu kinzani anakaribishwa.

Ahsante
Kamati yao ya olimpik km huku Bayi na kamati yake ndio wanaongoza mchakato
 
Mpaka jion hii US anampumulia China kwa medali za dhahabu
Screenshot_20210807-164616.jpg
 
Back
Top Bottom