Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Ila Tanzania Kama "Chama Chetu" tumefaulu kukandamiza maendeleo ya michezo....Hiv Tanzania kama nchi tunafeli wapi jaman?
Naona Kenya na Uganda tu wanashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Tanzania Kama "Chama Chetu" tumefaulu kukandamiza maendeleo ya michezo....Hiv Tanzania kama nchi tunafeli wapi jaman?
Naona Kenya na Uganda tu wanashine
JumapiliKesho saa ngapi?I cant wait to see them but as country mbona hatujapeleka wengi hata 10?
Kanifurahisha maana alikuwa anatafuta medali yake ya pili ya dhahabu ya Olimpiki...Kipyego Gold medal
Marekani ni land of opportunities na kinachowasaidia ni kukaribisha watu wa mataifa mbalimbali na talents tofauti tofauti so ule muingiliano unazalisha mambo makubwa. USA imejengwa na immigrants aiseeMarekani ni pool ya vipaji, pale utakuta hata 30% ya washiriki sio wazawa. Arnold Schwarzenegger kazaliwa na kukulia Austria ila kawa gavana wa jimbo kubwa kiuchumi Marekani. Ile nchi ishajielewa hata sisi tunatamani kuishi kule
Wapo vzr kwenye kupangilia mambo na kuyasimamiaMarekani ni land of opportunities na kinachowasaidia ni kukaribisha watu wa mataifa mbalimbali na talents tofauti tofauti so ule muingiliano unazalisha mambo makubwa. USA imejengwa na immigrants aisee
Sifan ni wa nchi gan???Kanifurahisha maana alikuwa anatafuta medali yake ya pili ya dhahabu ya Olimpiki...
Wakati Sifan alikuwa anatafuta hat trick ya medali ya dhahabu...
Wapo mbali sanaJumapili
Saa 1 asubuhi kwa muda wa Japan...ambayo itakuwa saa 7 usiku kwa muda wa Tanzania...
Yaani hii ni jumamosi kuamkia jumapili (yaani kunapokuchwa inakuwa jumapili)
Sifan ni wa nchi gan???
ROC ni Russia Olympic Comittee. Urusi walikia banned kushiriki mashindano ya olympiki kwa 4years... Nadhani sijui walipunguziwa to 2years kwa sababu ya walikugundilka kuwa na programu maalumu ya dopping (kutumia madawa ya kusisimua misuli na kuongeza nguvu katika michezo) program ambayo ilikua ni Stare Sponsored kwa wanamichezo wake zaidi ya 1000...,Why Russia wanajita RoC?
Watu weusi wanaibeba. Yani huko ulaya watu weusi ndio wanabeba hizo nchi kwenye maswala ya manguvuMarekani ni watu wa-bad sana, kila sekta wao huongoza, Ni taifa la namna gani aisee?!
Sidhan km kamati ya olimpik hapa bongo inaendeshwa na sisiemhaya yote ni MAUZAUZA YA CCM.
Marekani huwezi Kusema weusi ndio wanawabeba wakati hata weupe wamechukua medal pia, kwanza ninadhani msimu huu weupe wamefanya vizuri kuliko weusi, Weusi wengi wapo kwenye riadha na msimu huu hawajafanya vizuri ndio maana hata kwenye gold yupo nyuma ya Mchina, ila pale ule mchanganyiko ndio unawabeba, yaani kuna sekta Weupe wamepashika na kuna upande Weusi wamepashika, so huo muunganiko ndio unawaweka Marekani juu.Watu weusi wanaibeba. Yani huko ulaya watu weusi ndio wanabeba hizo nchi kwenye maswala ya manguvu
Bila kujipendekeza kwa CCM sahau kuhusu uongozi wa hizi taasisi, Anza na na Filbert BayiSidhan km kamati ya olimpik hapa bongo inaendeshwa na sisiem
Halafu kuna wizara ya michezo na inawafanyakazi lukuki na kula pesa za walipa kodi wanyongeWadau huu ndio msimamo wa olimpik mpaka mchana wa Leo idad ya medal na waliojinyakulia View attachment 1881383View attachment 1881384View attachment 1881385View attachment 1881386
View attachment 1881380
huo ni ufupisho tu kwa lugha yao .
РОССИЯ =РОС
Lkn sisiem haimwambii Bayi afanye hovyohovyoBila kujipendekeza kwa CCM sahau kuhusu uongozi wa hizi taasisi, Anza na na Filbert Bayi
Kamati yao ya olimpik km huku Bayi na kamati yake ndio wanaongoza mchakatoMkuu hapana, Urusi kama nchi ilifungiwa (Doping cases) ILA katika kipindi hiki cha uangalizi kuna kamati maalum tu imepeleka washiriki kadhaa. Mwenye ufahamu kinzani anakaribishwa.
Ahsante