Msimamo wa Polepole: Sitavaa barakoa hata kama nyie wote mnavaa barakoa

Ameshachanja anatudanganya, asubirie Bajaj za kwenda weekend Mbeya
Thubutu!! achanje nani? siyo Polepole ninayemfahamu!! Katikati ya watu wote wenye barakoa anadunda kwa uhuru bila barakoa na ana haki na uhuru wote!!
 
Msimamo hadi raha!! Siyo yule akitishiwa kidogo analazimisha watu wote kwenye vikao vyake wavae barakoa!!. Kakuta waarabu hawavai naye anaacha kuvaa!!
 
Hivi unafikiri jitu kama lile jasusi la mbinguni saa ngapi utweza kulifanya likavaa barakoa au kulichanja!
 
Msimamo hadi raha!! Siyo yule akitishiwa kidogo analazimisha watu wote kwenye vikao vyake wavae barakoa!!. Kakuta waarabu hawavai naye anaacha kuvaa!!
Barakoa sio uoga, hata licha ya Covid kuna magonjwa ya kupumuliana kama Homa ya ini au kifua kikuu. Mbona wewe unatumia neti au Condom kwani ni muoga?? Kujikinga sio uoga ni kuwalinda wengine tu ambao unaweza waambukiza magonjwa.
 
Huyu kweli alikuwa mwanafunzi mzuri wa Magufuli, anaweza kufanana nae mpaka kifo.

Nimeona picha akikabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Malawi, Chakwera, hata Rais mwenyewe hajavaa barakoa.

Hii Corona imebakia kama sababu tu ya kuombea misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…